Recent content by shamsa ismail

  1. shamsa ismail

    Bachelor of Rural Development

    uko vizuri broo naipenda hii course jaman
  2. shamsa ismail

    Msaada wa haraka tafadhali, NACTE nimelipa sioni kozi tofauti na za afya

    bado usaili wa vyuo vingine ujafunguliwa ndo maana unaona usaili wa vyuo vya afya tu so subili hadi mwezi wa nane mwishoni ndo usaili utafunguliwa
  3. shamsa ismail

    Bachelor Degree in Secretarial Studies and Public Administration

    mabadiliko yatafanyika maana wao TPSC si wehu kuanzisha kitu kama hakina ajira I hope mpaka wakamalize hao walio anza watakuta ajira zishafunguliwa
  4. shamsa ismail

    Bachelor Degree in Secretarial Studies and Public Administration

    naomba unipe procedure za kujiunga hapo TPSC
  5. shamsa ismail

    Bachelor Degree in Secretarial Studies and Public Administration

    ata wanaume wanapata tena wanapewa kipaombele sana sisi tulisomaga na mwanaume na aliwahi kupata ajira hadi sasa yuko mahakamani bunda
  6. shamsa ismail

    Bachelor Degree in Secretarial Studies and Public Administration

    na mimi naitaji kuendelea na degree ya secretary yangu maana umenitamanisha maana hapo tatoka na vitu vingi
Back
Top Bottom