Waungwana habari ya saizi napenda kuuliza je biashara ya vifaa vya simu kama, chaji, kava, protecta, earphones, chaji n.k je mtaji wa laki tano unaweza kutosha au inahitaji walau mtaji wa sh.ngapi kwa kuanza tu nje na matengenezo ya ofisi ,,,,? Naombeni majibu kwa wanaojua na je inalipa..?