Recent content by Shamista

  1. Shamista

    Tuliounguza account za Forex trading

    Mkuu lipi suluhisho LA kuepukana na hao market makers yani kuepuka hizo tricks zao za kutanua spread, fakeouts na zingine
  2. Shamista

    Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

    Mkuu kuwepo kwa 87% ya losers ni kwamba wengi wao hawana tu emotions control, wana fanya maovertrade tu au kuna siri iliyofichika
  3. Shamista

    Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

    Mkuu yani wiki hii lazima upige mzigo wa hata dolla10000 be blessed🙌🙌 Ila km kuna cha kunishauri chingine naomba mkuu
  4. Shamista

    Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

    Bro kuna mtu anfanya mentorship ya demand and supply kweny forex Je ni kweli hii inahitaji mentor au unaweza kuimaster mwenyew
  5. Shamista

    Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

    Mkuu yani mungu akubaliki siku zote mwenyew moto safi ndo hufanikiwa nakuombe dua siku upige mzigo wa kishindo huko
  6. Shamista

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    😂😂😂 Ontario tenaaa bdo mahasira hayajaisha nenda kamwangalie Instagram huko anavyyotoa nondo zake dahh
  7. Shamista

    Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Mkuu tunaotaka kwanza kuijua hii biz unatushauri nn
  8. Shamista

    Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Mkuu Mkuu naomba tafadhali na mm hizo list za vitabu please km itawezeakan nkuomba mkuu
  9. Shamista

    Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Mkuu nakuomba na mm unipe list ya hivyo vitabu please naomba mtu wangu unisaidie
  10. Shamista

    Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Back in this discussion guys. And the winner issssssssssss Ontariooooooo🙌🙌😂. Watz tupende kusoma sana tupende kujifunza vitu vipya dairly tupende pia kuchangamsha bongo zetu kwa kwel tytafanikiwa tusipende mseleleko. Conclusion......
  11. Shamista

    Biashara ya matairi, tyre used kutoka ulaya

    Vp mkuu hii Ishu uliweza kuifanikisha au ilikuwaje
  12. Shamista

    Biashara ya matairi, tyre used kutoka ulaya

    QUOTE="jjokocha, post: 9067529, member: 178978"] Shukrani ndugu jamaa wengine walikuwa wananikatisha tamaa kila kitu hakiwezekani mkuu e mail yangu hio fanya unikontakt ( mr.valicha_999@hotmail.com) Vp mkuu cijajua km bado upo humu maana kitambo sana ivv hii Ishu ya tyre used uliweza...
Back
Top Bottom