Recent content by Shambano

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Sasa serekali ikiboresha shule zake bank watakusamehe mkopo uliojengea majengo?
  2. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Ujamsikia Prof. Balegu kwa tafiti zilizofanyika nje. Au ulitaka twaweza wajipinge wenyewe?
  3. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Mandela alikuwa na umli gaini vile?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tumeongoza katika list ya nchi zinazoongoza kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma

    afadhali sett katutoa, kila siku sisi wa mwisho. hongera sana sett ukimaliza hapa tz kawape soma na uganda
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hulu kwetu ppf kiseke mwanza. Chadema kashinda!
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    kwani Lowasa ndo sisiemu tu!!! kuna kitu kinaitwa Warioba hata mzee wa kaya anajua habari zake kamuulize.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Mh.Lissu Mwanaharakati na ICON ya Mageuzi ya Kisiasa Tanzania

    Naomba sana iwe hivo, ila sipati picha kwa mafisadi!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    naunga mkono hoja 110%
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

    Kwani uliwai kumusikia kawawa anajitangazia elimi take?? Hapa hoja ni kweli mwigulu ni mchumi WA daraja la Kwanzaa!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Kwani mafuta unayotumia kwa gari kutoka uarabuni yanakuja kwa ndege. Kwani wewe usafiri ni ndege tu!! Ujiulizi kwa nini bandari ya bagamoyo inajengwa sasa??
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akamata mchina amevaa shanga za pembe za ndovu kiunoni!

    hapo patamu ludia tena
  13. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    hata akikuomba nanii utamupa tu make ajawaishindwa kitu. Haya mpe
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Zuio la mahakama halizuii kumjadili Zitto isipokuwa uanachama wake tu

    Mbona wapo Nape Six Mwakwembe na Lowasa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Lowasa go, usibabaishwe na vyeo vya kuteuliwa. Hiyo ni haki yako bwana. Kama Mangula na Nape wanautaka si watangaze his bank kawazuia
Back
Top Bottom