Recent content by shamariwa chool

  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Ndo tujiulize mkuu yana mmiliki aliona amjuliishe riz moko kuwa nimechomewa vituo kathaa bila kuwa na mahusiano. Nathan hawa viongoz saiv wangekaa kmya kidogo sasahv watu uelewa wao nimkubwa kuliko wanavyofikiri wao au wakiongea wasizungumzie lolote kuhusu mo29
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Ila mwenye lake oil alimwambia rz moko kuwa zmechomwa zaid ya tisin 🤐mwenye lake oil alimwambia rz moko zingatia hloo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa Airport kwa takriban saa 12, wakimbizi kutoka Palestina waruhusiwa kuingia Afrika Kusini

    Mkuu kunataarifa kuwa hamas wanaomba wapewe njia salama ya kutoka kwenye mahandaki tafathali mkuu bila kuingilia majukumu yako naomba utushushie news hapa mana nakutegemea binafsi kwa habari za hamas +hzbolha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nicki Minaj anatarajiwa kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa niaba ya utawala wa Trump

    Na nyie huko tz mje mumtume shilole kuwa wakilisha pale Adisi ababa kwenye kikao cha AU 😂😂 maana kwa mambo ya tz lolote laweza kutokea , a,k,a taletale
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Samahan mkuu ila syo kwa ubaya hyo gari mbovu ambayo ingine ni nnzima hapo kwenye profl yako imepaki wapi namuda sjaiona mkuu ikitembea, samahan kwa hlo swali
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima ampatia cheti mwanaume aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi

    Nifala mmoja tu huyu na yawezekana bi harusi akimaliza kupandwa huko akarud na jamaa akampokea. Hawa ndo wanaume wanajinyonga kisa mapenzi niwathaifu sana wanasingizia eti wanaimani. Iman gan ya kingese hyooo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

    Kwanza ndan ya skunne umekula? Uwezi kunya hujala ndugu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    🙏🙏🙏
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mugabe mahakama tuhuma za dawa za kulevya

    Hlo shati alilovaa tuu linawakilisha bendera yetu Wakush wa Ethiopia yanini kumnyanyasa kijana wawatu wakati hyo bangi haijalettaa vurugu wala majeruhii
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

    Ukisikiliza vizuri zuio limewwekwa ikiwa tayari ishauzwa na hat kubadilishwa .kingine hiv kma jamaa alieuza kamma alimdanganya mnunuzi kua hana mke? Nathan serekal ingeweka kipengele kama unauza nyumba wawasiliane na rita kujua kma una ndoa au laa vingnevyo lawama ztakua nyingi maana hapo hata...
Back
Top Bottom