Recent content by Shalom660

  1. Shalom660

    Tatizo la CRDB Simbanking

    Changamoto zakimtandao zipo sana hata kwenye makampuni ya simu hiyo hali huwa inatokea, mimi ni mdau ninaetumia sana sana simbanking na ninatumia Mpesa na tigo pesa kwenye akaunti tofauti za Crdb bank kwangu imekuwa msaada mkubwa kunirahisishia maisha pale ninapokuwa na huitaji wa pesa na nipo...
  2. Shalom660

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Kimbukuli umesema vyema kabisa wapimwe akili mapema, kiongozi ni Muhimu kusoma mambo yahusuyo uchumi na biashara ili ajue dunia katika swala la uchumi inaendaje.
  3. Shalom660

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Kiongozi especially Raisi anatakiwa awahamasishe wafanya biashara wakubwa na mabank yote nchini wafanye biashara kwa nguvuzote kwaajili ya kuinua uchumi wa nchi. Napia kwa wananchi akafanya hivyohivyo , Kama kauli mbiu yake inavyosema Hapa kazi tu, basi angeitumia kuwahamashisha wananchi kufanya...
  4. Shalom660

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Raisi Magufuli na viongozi wake kwakweli wanahitajika kuombewa, kwakauli zinazotolewa zinakatisha tamaa, industry ya Kibank ndiyo yenye ushindani na yenye kuongeza kipato kwa taifa kwaujumla na kuinua kipato kwa wananchi, sasa kwakauli zakuvutia upande mmoja zisizokuwa na tija nihatarishi kwa...
  5. Shalom660

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Crdb inatoa mikopo nafuu sana kulinganisha na Bank nyingine za kitanzania, kwanza katika utoaji wa mikopo wanatumia Reducing balance method ambayo mteja anakatwa kwa kila kiasi cha mkopo kilichobakia kwenye mkopo wake na hii inamuweka Mteja katika self side na kumpa mteja unafuu ya makato...
Back
Top Bottom