Recent content by ShaKimpunda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

    awdjhsty nh2jwheh/COLOUR
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha Nini?

    mbona hizo ni nchi za waafrika weusi tu, sioni waarabu hapo. Magufuli yupo sahihi, hawa wazungu wana mpango maalum kwa weusi. Tuchukue tahadhari. Hii ngozi nyeusi inawatisha weupe.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

    Kwa TL hao ni mabeberu, kwa JPM hao ni washirika!!!! Unafiki gani huu??? Kwa faida ya nani hasa??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mabasi haya mnayakumbuka?

    Yaani hakuna anayekumbuka Saibaba jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu. Namwungamia Mungu Mwenyezi nawe padre wangu.Sikuungama tangu..........Niliondolewa dhambi, nikatimiza malipizi. Dhambi zangu ni hizi...... Najuta dhambi zangu zote. Ee Yesu unihurumie. Huo hapo juu ndio utaratibu wa kuungama wakatoliki. Je kuna...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia ya Mawaziri misafara yao itamaliza sana waandishi wa habari wao

    Jamani hivi kwa nini watanzania hatuelewi vitu kwa maana yake halisi? Hii kitu inaitwa ajali ni neno la kiswahili na sisi tunajinasibu sana kuwa ni waswahilli. Hapa naona wengi wetu hatuelewi maana ya ajali. Ajali ni tukio litokealo bila kupangwa hivyo halizuiliki, likitokea limetokea hakuna wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Si hawahawa wabunge walipiga kelele bungeni eti wawekewe ulinzi? Mh naona wanatufanya hatuna kumbukumbu kabisa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Kwa maana hii waarabu(waislamu?) Wote motoni maana waume kwa wake huvaa nguo zinazofanana(kanzu). Naomba kusahihishwa. Halafu hawa ndio ving'ang'anizi wa vazi la suruali.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Nawatakia kila la heri madiwani waliohama na kujiunga na CCM

    Waruhusu mikutano ya siasa ili wapinzani wapate nafasi za kueneza Sera na mikakati yao la sivyo upinzani kwaheri.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Mbona ngumu [ colour=green ]hivi?
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    Let me [colour=green]join
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    #008000mobile/colour
Back
Top Bottom