Recent content by shakeelshabani

  1. shakeelshabani

    Mbowe anastahili pongezi kwa kuwa mbunifu wa miradi ya CHADEMA

    hukioji sana mapato utaitwa msaliti na utanyanganywa kadi
  2. shakeelshabani

    Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

    haya madawa sasa yamekuwa issue kwani kila mtu anakamatwa kutoka nayo hapa kupeleka nje ya tanzania kwa hiyo hapa sasa kuna kiwanda cha kuzalisha madawa
  3. shakeelshabani

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    hapana mnyika lazima kwa kuwa yeye ni msemaji wa chama lazima atekeleze majukumu yake hata kama yeye hataki basi chama kitamtuma tu aketekeleze
  4. shakeelshabani

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Breaking news: Zitto kabwe ashinda hukumu ya kesi yake
  5. shakeelshabani

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Jaji John Utamwa ameingia mahakamani akiongozana na karani na kuomba radhi kwa kuchelewa kisha kuanza kusoma hukumu. Mawakili wamejitambulisha na Jaji amesoma jalada la kesi husika. Hukumu inaendelea kusomwa na Jaji Utamwa. Zitto Kabwe ana ulinzi mkali ndani ya Mahakama Kuu. Tundu Lissu yupo...
  6. shakeelshabani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Polisi wafanye uchunguzi wa kina si kupuuza maana sasa tanzania panaanza kuwa sio sehemu salama kwa raia wake kama mtu anatekwa na kuumizwa kisha mambo yanakwisha kimya kimya inakatisha tamaa kwa raia ambao hata sio viongozi
  7. shakeelshabani

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    hivi tatizo la zitto ni nini hasa hadi vijana leo mmekua mkimchukia kusema yale ambayo sisi tulikuwa hatuyajui au kwa kuwa anataka kuhamisha ufalme kanda ya kasikazini na kuupeleka kanda ya magharibi au kawagusa miungu watu kwenye liziki zao siku zote unaambia akili ya kuambiwa ongezea...
  8. shakeelshabani

    CUF haihusiki na njama zozote dhidi ya CHADEMA kwenye sakata la ZZK

    Wadau, waandishi wengi wa habari wananipigia nithibitishe ikiwa CUF iliandaa makundi ya wanachama wakamshabikie ZZK mahakamani leo hii. Taarifa ya namna hii pia imeenea mitandaoni. Pia viongozi kadhaa wa CHADEMA wamenipigia kunijulisha kuwa Intelijensia yao imegundua kuwa vijana wa CUF...
  9. shakeelshabani

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    jamani mliokuwa mahakamani mtujuze nini kimetokea huko maana kila mtu hapa anataka kuonekana mwamba au kesi imeahirishwa .
  10. shakeelshabani

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Hadi hapa inaonyesha kabisa mh zzk haina imani na kamati kuu
  11. shakeelshabani

    Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Hatimae kilio cha sikunyingi cha cuf kimesikika rasmu imependekeza serikari tatu kwani kwa miaka mingi Cuf imekuwa ikililia muungano wa serikari tatu toka mwaka 2005
  12. shakeelshabani

    akirudi ntagunduaje

    huwezi jua kama aliingiliwa wewe vumilia tu ila cha muhimu kama humuamini basi bora uachane nae kuliko kuishi kwa mashaka
  13. shakeelshabani

    Mafuta ya kupaka during sex act

    kwanza jaribu kumchezea hili na yeye awe tayari kwa tendo sio umekurupuka huko na kutaka kupanda lazima atakuwa mkavu tu
  14. shakeelshabani

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    sijui kama hili limewekwa kwenye rasimu hii ya awamu ya pili
Back
Top Bottom