Recent content by shakeel 11

  1. shakeel 11

    Fahamu athari za jiji la Dar kipindi Wachagga wakienda Moshi kula sikukuu

    taja basi na faida zinazopatikana huko moshi na adhari zake ila kupungua kwa foleni kunatokana na shule kufunga maduka yanapungua wateja inategemea na wewe unakaaa wapi kama unakaa polini lazima ukose wateja ungesema machangudoa hupungua kweli maana madada wengi wanaojiuza wanatokea pande...
  2. shakeel 11

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    hapa mukulo ajitokeze na kusema aliosoma nao kama kweli toka dalasa la kwanza hadi la saba alitumia jina hili au kweli amebadilisha ukubwani na kweli alisoma mbeya day?
  3. shakeel 11

    Nimeanza Tena Kuangalia Taarifa Ya Habari Ya ITV

    kweli itv walionesha kubadilika kidogo na chombo cha habari kinatakiwa kuwa vile sio kupenda ushabiki tu
  4. shakeel 11

    Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

    Wewe wilshere naona umri tatizo kidogo kwako mwaka ambao cuf ilifanya vizuri mikutano ilifanyika wa na wanyonge kwani wanishi wapi na pia kumbua kuwa kauri mbiu ya cuf ni haki sawa kwa wote sijui wewe kwa ushauri tukafanye wapi mikutano na wewe na chama chako huwa mnafanya wapi mikutano kama...
  5. shakeel 11

    Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

    Wewe wilshere naona umri tatizo kidogo kwako mwaka ambao cuf ilifanya vizuri mikutano ilifanyika wa na wanyonge kwani wanishi wapi na pia kumbua kuwa kauri mbiu ya cuf ni haki sawa kwa wote sijui wewe kwa ushauri tukafanye wapi mikutano na wewe na chama chako huwa mnafanya wapi mikutano kama...
  6. shakeel 11

    Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

    Kwanza mikutano ya cuf haifanyiki temeke tu inafanyika kila mahara sema kwa kuwa wewe ni mamluki wa chadema unasema hayao cuf iko kuanzia tawi sio chama chako wewe ni katibu mkuu na jopo lake tu maswali ya kizushi kwako taja jina la aliekuwa mgombea mwenza wa mbowe na wa slaa kama unawajua...
  7. shakeel 11

    Kwanini habari za chama cha wananchi CUF haziandikwi wala kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari?

    Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya mikutano mikubwa ya hadhara lakini kesho yake hakuna hata chombo kimoja cha habari kitakacho kuwa kimetoa...
  8. shakeel 11

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    miongoni mwa mazuri ya rais kikwete ni kwamba kila mtu kamuachia afanye kazi ya kama waziri ufanye kazi yako ukiwa katibu fanya kazi yako hata house girl nae afanye kazi zake na hili ndio labda tatizo watanzania wanashindwa muelewa kwa mfano leo mkeo akigoma mpaka rais aseme wewe utakuwa na kazi...
Back
Top Bottom