Recent content by shaka akuna

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

    kwamba arejee KITWANGA mecheka sana aise
  2. S

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

    kweli kaka, izi mambo zinawezekana, nimepitia iyo link apo..... tulipe mda tu ili,linakuja
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Samahani ivi bado upo Takukuru unafanya kazi vile??? Ahahhahaahha
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Hata apitishwe nanii,huu mwaka kitaeleweka tu, Ni mwendo wa kukataaa tu na sisi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Washa mkata huyo......bado na sisi kukata tuuu,lazima wanyooke wajuwe kutofautisha KUTUMIKIA TUMBO NA KUTUMIKIA WANANCHI
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    TAHATIFA YA UHAKIKA IlIYO NIFIKIA Makongoro mahanga asha katwa na aliye pita ni mmama kugombea jimbo la segerea, Haya sasa kazi ndy imeanza aduwi wetu wa kwanza kasha KATWA bado zamu yetu sisi wananchi KUKATA PIA
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Ivi unamjuwa kwl anaye lalamika......au unahisi kilaa anaye post ishu ya CCM ni mwana CCM hahahaha, Mwaka huu tutawanyoosha tu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Kumbe sikujuwa, Mwingine?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    Eti kwa sasa hivi ktk chama chako hakuna tena fisadi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Huyu mbunge wa jimbo la Segerea,hafai kupitishwa tena na chama chenu.... Ameanza, 1:-hongo na kuhaidi pikipiki kwa vijana,eti uweke kiasi cha laki3 katika account ya benk(namba siwezi ziweka hapa) alafu anakupa pikipiki huku unaendelea kulipa taratibu,hii nayo ni hongo kama hongo nyingine...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    Ahhahhaahahhahahhhh............ Huo ni mwanzo tu, tuipe mda......., yanakuja mengi na yakushangaza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Yana mwisho ayo:tinfoil3:
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Regional Development Planning

    mkuu ivi ulivyo kuwa mkienda field mlikuwa mnaenda kujifunza pekee au nakutafuta na kujuana na watu.?? ok.......boom lako ulikuwa una lifanyiya nini....ok. uja chelewa ufugaji hauna msimu useme kipindi iki watu awali nyama.......... fuga mkuu, siku nikifikia lengo la kuwa na ng'ombe 50,mbuzi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Regional Development Planning

    Regional development planning......(mipango), twende mbele turudi nyuma kunatofauti kubwa sana kati ya RDP ya mipango na RDP ya chuo cha Ardhi..... ila isiwe kesi.....kwa ushauri tu,wilaya ya lushoto,bumburi zina upungufu mkubwa sana wa afisa mipango nenda kajaribu,usi chaguwe...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

    utafiti mwingine ni ule wa chuo cha ARDHI cha dar es salaam kufanya utafiti wa kuzalisha umeme kwa kutumia uchafu wa aina mbalimbali,na huu utafiti wame wwkeza palepale chuoni na mladi mkubwa upo kinyerezi na tiyari washaanza kuzalisha umeme...........tatizo lililopo ni serikali kuwasusia miradi...
Back
Top Bottom