Natafuta kazi, nina Shahada ya Regional Development Planning

Aisee, pole sana mkuu, mi mwenyewe nilimaliza chuo 2012, ila hadi leo bado cjapata ajira. sasa mwaka jana nikaamua kusomea ualimu (pgde) na mwaka huu mwez wa 6 na mwakani mwez kama huu nasubiria ajira ya selikali ya ualimu, halaf baadae nitaomba wanihanimishe kwenye fani yangu ya degree (accounting). so kama mnajiweza hom kasome post graduate diploma ya education kuliko masters ili Angalau uwe na uhakika wa ajira hasa serikalin ambapo ndio mpango mzima. kila la heri mkuu
 
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu. Ngoja niufanyie kazi. Asante
 
Aisee, pole sana mkuu, mi mwenyewe nilimaliza chuo 2012, ila hadi leo bado cjapata ajira. sasa mwaka jana nikaamua kusomea ualimu (pgde) na mwaka huu mwez wa 6 na mwakani mwez kama huu nasubiria ajira ya selikali ya ualimu, halaf baadae nitaomba wanihanimishe kwenye fani yangu ya degree (accounting). so kama mnajiweza hom kasome post graduate diploma ya education kuliko masters ili Angalau uwe na uhakika wa ajira hasa serikalin ambapo ndio mpango mzima. kila la heri mkuu

Hamuoni kama Elimu yetu inatuandaa kuwa Tegemezi zaidi? Hivi unakubaliana na Mimi kuna watu kko hawana hata cheti cha darasa la saba na Wanaendesha Maisha yao kwa Biashara? Kwa mitaji ambayo sisi tunaamua kuwekeza kwenye Elimu ambayo baadae inatufanya Dependant?

Mshauri Jamaa ajaribu Biashara, Na ww hivyo hivyo.. Fanya hesabu za Biashara labda utatoka.

Ukiingia serikalini, Utaanza kulalamikia Mshahara, Makato ya Kodi, Mazingira magumu ya Kazi n.k. Can you handle them all?

Elimu yetu ifike mahala iwe reformed. Something is Missing. Wazazi wanajitahidi sana kuwasomesha watoto wao, tena kwa gharama kubwa sana.

Ha ha ha haaaa...

Ukija Ofisin utashangaa wanaofanya kazi zako ni wenye elimu ya Certificate, tena alosomea akiwa ktk Ajira.

"Bila King'amuzi hakuna Channel utakayoona".

Ualimu wakikutupa Sumbawanga vijijini... Hutoenda.
 
Dah asee changamoto ni nyingi mimi pia nimesoma hyo Regional Development Planninng....tofaut yangu nimemaliza mwaka jana nazan wana jamvi watatoa ushauri ambao na mimi utanisaidia maana wote ni wajanga wa ajira
 
Regional development planning......(mipango),
twende mbele turudi nyuma kunatofauti kubwa sana kati ya RDP ya mipango na RDP ya chuo cha Ardhi.....
ila isiwe kesi.....kwa ushauri tu,wilaya ya lushoto,bumburi zina upungufu mkubwa sana wa afisa mipango nenda kajaribu,usi chaguwe mazingira.......pili unaweza fuka mifugo tena kwa garama ndogo sana...mfano;kuku wa kienyeji tetea mmoja ukianza nae anaweza kutaga mayai zaidi ya 15 kwa makadilio anaweza totoa vifaranga 12,na vitakavyo kuwa ndani ya miezi 6 ni vifaranga 7(kunakufa apo).
ivyo baada ya miezi sita una kuku 8,kwa mwaka ni kuku 16,mwaka na nusu 24........
uku unafoce mishe zako kuku wanakuwa.........
inamana ukiuza una uwakika wa mtaji,kila kuku bei ni 12000....
ivyo 24(kuku)*12000=288000,
huo ni mtaji tosha wa kufungua banda kubwa la kuku......kwa mda wa miaka 41/2 unayo 864000.....mungu akupe nini tena.......mimi ni RDP mwenzio ila yangu ni ya chuo cha ardhi......zinduka usingizinu mkuu
 
mkuu ivi ulivyo kuwa mkienda field mlikuwa mnaenda kujifunza pekee au nakutafuta na kujuana na watu.??
ok.......boom lako ulikuwa una lifanyiya nini....ok.
uja chelewa ufugaji hauna msimu useme kipindi iki watu awali nyama..........
fuga mkuu,
siku nikifikia lengo la kuwa na ng'ombe 50,mbuzi 50 na pig zaidi ya 50,kuku wa kienyeji 100 nita tangaza rasmi nafasi za ajila bila kujali taaluma kwa kuanzia........ila sitoitaji ubraza men kusema mi nina degree siwezi shika mavi ya ng'ombe........pesa tunasaka kwa shida san uku tuki kalia GPA zetu nzuri mfukoni kwasababu tu sitaki kuajiliwa ndy mana nimejiajiri mwenyewe........nategemea baada ya 2years lengo litakuwa linaanza kufikiwa..........
........VIJANA TUSICHAGUWE KAZI.....
 
Bila shaka umesoma Mipango Dodoma mkuu
 
Boom lishapita!!! ila Ushaur mzur
 
Regional development planning......(mipango),
twende mbele turudi nyuma kunatofauti kubwa sana kati ya RDP ya mipango na RDP ya chuo cha Ardhi.....
ila isiwe kesi.....kwa ushauri tu,wilaya ya lushoto,bumburi zina upungufu mkubwa sana wa afisa mipango nenda kajaribu,usi chaguwe mazingira.......pili unaweza fuka mifugo tena kwa garama ndogo sana...mfano;kuku wa kienyeji tetea mmoja ukianza nae anaweza kutaga mayai zaidi ya 15 kwa makadilio anaweza totoa vifaranga 12,na vitakavyo kuwa ndani ya miezi 6 ni vifaranga 7(kunakufa apo).
ivyo baada ya miezi sita una kuku 8,kwa mwaka ni kuku 16,mwaka na nusu 24........
uku unafoce mishe zako kuku wanakuwa.........
inamana ukiuza una uwakika wa mtaji,kila kuku bei ni 12000....
ivyo 24(kuku)*12000=288000,
huo ni mtaji tosha wa kufungua banda kubwa la kuku......kwa mda wa miaka 41/2 unayo 864000.....mungu akupe nini tena.......mimi ni RDP mwenzio ila yangu ni ya chuo cha ardhi......zinduka usingizinu mkuu

Asante kwa ushauri mkuu. Japo mambo mengine yanategemea na mazingira. lakini ngoja nipambane. Alaf sikujua kama ardhi kuna RDP labda zinatofaitiana kweli.
 
Dah asee changamoto ni nyingi mimi pia nimesoma hyo Regional Development Planninng....tofaut yangu nimemaliza mwaka jana nazan wana jamvi watatoa ushauri ambao na mimi utanisaidia maana wote ni wajanga wa ajira

Vipi mkuu ushapata kitengo tayari au bado?
 
Back
Top Bottom