Recent content by Shaibu Hamis

  1. S

    Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Pole sana Mkuu! Mi nakushauri ungeona na wanasaikolojia! Depression huwa inatabia ya vitu vingi unavyovieleza! Ni unapofikia hatua ya kutaka kujidhuru it means uko kwenye climax! Uchawi upo ila ukiuamini utateseka sana! Watu wa upako walishindwa kwasababu imani yako haba!
  2. S

    CAF yatoa list ya Klabu Bora 50 Afrika Yanga haimo- je yanga imezidiwa hata na Azam na SIMBA??

    Simba imefanikiwa Afrika licha yakucheza ligi ya Mabingwa mwaka jana bado inarekodi ya kuuza wachezaji kwenye club kubwa barani Afrika hata Ulaya. Acheni yanga waendelea na kelele za chura kwani ipo siku wote wataishabikia simba
  3. S

    Fedha za kujikimu ajira mpya

    Waraka wa serikali wa utumishi wa umma unasema mtu anayeajiriwa na serikali ni lazima alipwe fedha za subsistence allowance kabla ya kuripoti kwenye kituo cha kazi kwahiyo swala la kutopewa hizo fedha ni uzushi
  4. S

    Fedha za kujikimu ajira mpya

    Abasi Isare ni mwalimu wa diploma
  5. S

    Fedha za kujikimu ajira mpya

    Nimetafuta sana majina ya walimu waliochaguliwa katika ajira mpya siyapati naomba nisaidie
  6. S

    Fedha za kujikimu ajira mpya

    Kwa mwalimu wa shahada last year ilikuwa 45000 kwa siku saba kama umepangiwa wilayani(kijijini), 65000 kwa siku saba kama umepangiwa mjini. but kila mwaka mambo yanabadilika kwani mwaka juzi walitoa hela ya siku 14
  7. S

    Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    Wadau naomba majina ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa kidato cha pili
  8. S

    Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    Kama ni kweli huyu ni askari wa JWTZ basi ni hatari kwa usalama wa Taifa lakini pia kama huyu jamaa ni magumashi basi kitengo cha usalama wa taifa kipo kwenye usingizi mzito.
Back
Top Bottom