Recent content by Shaiba

  1. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

    hahahaha!Kumbe tupo wengi na mimi natumia kiswaswadu,tokea niweke mb za buku ni miezi miwili sasa imepita na bado mb zipo za kutosha!
  2. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Inazidi kwa mfano elfu tano gharama ya kutengenezea ni tshs 150 mpaka 200,na elfu kumi ni dollar 0.07 kw noti.
  3. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Kiwanda kipo (TPSC)kilianzishwa mwaka 2015 na kuanza kufanya kazi 2018 kwa kushirikiana na kampuni ya DERA RUE ya uingereza,ila kinashapisha noti zote kasoro elfu kumi yenyewe inashapishwa Ujerumani chini ya kampuni ya GIESECKE & DEVRIENT
  4. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Mimi na kusahihisha ,tangu kuanzishwa kwa TPSC(Tanzania printing security company )mwaka 2015,kwa kushirikiana na DERA RUE ambayo ni kampuni kutoka uingereza.kwa sasa Tanzania inachapisha noti zake mwenyewe isipokua elfu kumi ambayo inashapishwa Ujerumani chini ya kampuni ya...
  5. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Hawa hapa
  6. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja nipumzishe fuvu,atlentiko kanilaza na viatu.
  7. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa kuitwa antlentiko mat.ako yako.
  8. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Lugha yasababisha Mahakama kuamuru kesi ya aliyehukumiwa kunyongwa isikilizwe tena

    [emoji3][emoji16][emoji23]hii nikweli kabisa, hasa hasa kwenye salamu.
  9. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mabasi ya kwenda Mbogwe - Geita

    Ni vituo viwili tofauti, masumbwe ni kata na pia ni jina la tarafa, ila MBOGWE ni eneo jingine ambapo halmashauri ilipo. KARIBU MASUMBWE
  10. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Uingereza

    Ahsante mkuu kwa kishusha nondo,hii ndo chakula ya ubongo
  11. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungefanyajee???

    😂😂😂
  12. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

    😁😁😁😁yani wewe kama mimi, yani inaweza kupita hata miezi ila siku nikimpigia anacheka kwanza, ila mimi naona ni hulka ya mtu tu.
  13. Shaiba

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichosababisha moyo wangu kupata maumivu makali ya ndani kwa ndani

    Pole Sana mkuu..! na mm mitano tena
Back
Top Bottom