Recent content by shai1988

  1. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

    Mitihani ivuje lakin pia na udin.necta upo. Dk ndarichako alinyooshewa. Kidole kwa udin wa dhair na mpango wake dhid ya waislamu kupitia somo la dini.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    SCIETIST WHO BECOME MUSLIM - Tafuta na Google - http://www.google.com/m?q=SCIETIST+WHO+BECOME+MUSLIM&client=ms-opera-mini-android&channel=new
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    Scientists Comments Feed Famous Scientists 15 Famous Muslim (Arab Persian) Scientists and their Inventions Comments Feed Famous Scientists Feed Feeds Feeds Galen Magnificent Mathematics Quotes 7 Scientists Who Died Violently Nicolaus Copernicus Famous Scientists Home List of Scientists Blog...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Zanzibar (NKMZ) salum Mwalimu Kutikisa Kibaha Kesho

    Hana athar zanz atakuwa na athar bar?? Labda anamshikia pembe mtoto toka maua seminar katk mfumo k
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Zanzibar (NKMZ) salum Mwalimu Kutikisa Kibaha Kesho

    Anatumika tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru atetea Mahakama ya Kadhi ITV

    Kwani warioba hakuwepo kupendekeza katiba yake anaamua kuipendekeza leo??? Kingunge yupo sahihi 100%
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni waongo na wazushi, Chenge hahusiki kupiga risasi hewani

    Habari ya chadema ni uongo mtupu. Magar yalikuwa ma 3. Gar la chenge la ahmed na la ccm matangazo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa BAVICHA Bariadi

    Jana zlitokea vurugu makao makuu ya chadema bariad ofc zilizokaribu na mckit wa salunda. Waloanza vurugu n ccm zilipigwa risas kadhaa hewani. Ila kuhusu wing wa watu kwenye mkutano ndugu mtoa post upenz umekuzid.
  9. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa BAVICHA Bariadi

    Mtoa post mwongo mimi naishi bariadi habari katoa kinyumenyume. Uwanja walofanyia mkutano haufki hata mita mia hakujaa hata nusu zaidi vjana wakuwepo weng wao wakiwa baisker zao zilichukua nafasi. Tuonyeshe picha toka juu sio horizotal pic inayoonyesha watu weng kumbe kiduchu. Mmi bnfsi nilikuwepo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio kati ya mkutano wa Mnyika CHADEMA & Zitto ACT-Wazalendo

    kumbuka bukoba upinzan unaishindaga ccm baada ya fitina ndani ya ccm
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio kati ya mkutano wa Mnyika CHADEMA & Zitto ACT-Wazalendo

    Ccm wangemkubalia slaa agombee nafas ya ubunge je angekuwa chadema kwani n mzalendo????
  12. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

    aliewapa chadema cuf nccr wakapotea ndo awapa act. Kimsing tz hii upinzani n zao la ccm. Baada ya nchi kubaniwa misaada na weupe wakalazmisha demokrasia hil wapew misaada mzee wa taifa hil akatengeneza mazngira wakptikan wapzani. Ndo mana alikuj sema upinzan wa kwel utaptkana ccm.
  13. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

    Mbona chadema alipewa mil 100 na muhindi wa ccm?? Kuna kosa act wakopewa???
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Itilima Simiyu yafukuza walimu wote wa Shule za Sekondari

    ukipangwa huko ndo utapata habari yako. Kukaa huko miaka 7ni muhanga mkubwa. Mimi sikai hiyo saba hata bariad mjin makao makuu ya mkoa. Haya moja ya maeneo hatarishi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa Kenya kwa tuhuma za ugaidi

    Dunia uwanja wa .......
Back
Top Bottom