Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
yule Mpuuzi Mwl wa ngoma ajiitaye Kaijage yupo wapi? Hiyo ndiyo CDM
Yuko kwenye mfuko wa Zitto.
yule Mpuuzi Mwl wa ngoma ajiitaye Kaijage yupo wapi? Hiyo ndiyo CDM
Hili hapa
Huyu Joka la Makengeza uchawi uchawi tu ndiyo tegemeo lake kubaki kwenye Jimbo.Hilo joka limejaa uchawi kila sehemu. Ninajua kuna viongozi wengi wanaishi kwa nguvu za uchawi. Ninaomba wale wote wanaochukizwa na tabia hizi na ambao wangependa kuanzia sasa wachawi waumbuke na wawe chukizo machoni pa watu wote, wani PM.
Katika majeshi vikosi viko vya majini, nchi kavu, angani, na kazi mbali mbali ikiwemo mizinga, habari, hamasa, huduma, mahusiano, propaganda, na specialization za matumizi ya silaha zote.
Twende kazi!. MAKAMANDA WA CHADEMA, SONGA MBELE, TUKO SAMBAMBA NA NINYI HADI TANZANIA IMEKUWA HURU!.
kumbe na chadema wanapenda nyomi? nilikuwa sijui, Zitto akijaza watu kwenye ACT yake mnaponda ila chadomo ikijaza mnasifia. hata hamueleweki nyie viumbe.
usi lalamike ndugu.hujanyimwa kuleta ushahidimtoa post mwongo mimi naishi bariadi habari katoa kinyumenyume. Uwanja walofanyia mkutano haufki hata mita mia hakujaa hata nusu zaidi vjana wakuwepo weng wao wakiwa baisker zao zilichukua nafasi. Tuonyeshe picha toka juu sio horizotal pic inayoonyesha watu weng kumbe kiduchu. Mmi bnfsi nilikuwepo.
sikuelewi unamaanisha nini kwenye red. nani kakuambia mimi ninachama? sina chama na sihitaji kuwa na chama muda huu. bado nipo nipo kwanza, kama mwana FA vile.usipende kujitoa ufahamu wewe,imebidi tuweke hizi picha kutokana na msemaji wa chama chenu act kuja hapa na kuanza kupotosha uma. Sasa kwasababu yeye ameogopa kuja hapa akakutuma wewe mjumbe ni vyema ukamfikishia salam
Mkuu...siasa za Tanzania Nyomi sio ishu
Watu hawana kazi...wanaenda kushangaa..wengi wao.....
Siasa za Tanzania zinahitaji kuweka misingi at the bottom......kama vile CCM ilivyo
wewe ndo umeongea ukweli wa moyoni. natamani na hao chadema wenzako wangeujua ukweli huu.
wengi wa wahudhuriaji kwenye mikutano ni kwenda kupumzika tu baada ya mchana wote kuhangaika kujitafutia riziki.
lakini ninavyojua akina chademakwanza, molemo and their like wakiona hii post yako jiandae kwa matusi.
Mpuuzi kweli wewe! hilo joka la makengeza lilifikaje kwenye ofsi za cdm? au lilichanganyikiwa likadhani lipo Lumumba?