Recent content by Shafiri

  1. S

    Vigezo vya Kujiunga na Kidato cha tano 2015

    Tafadhali naomba anayefahamu vigezo vya kujiunga na Kidato cha 5 atuwekee humu jamvini. Tovuti ya wizara ya elimu inaonesha kuwa wameshatoa vigezo lakini ukifungua link husika unakuta ni Barua Na. 1 ya mwaka 2013 inayohusu ongezeko la gharama za ukaguzi.
  2. S

    Tundu Lissu: Matokeo ya kidato cha nne ni "uozo" mtupu

    Ulitegemea nini wakati huu ni mwaka wa uchaguzi?
  3. S

    NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Sijakuelewa una maana gani ukisema hawa ni sawa na 2012. Mwaka 2012 hapakuwa na B+ na Div I ilianzia pointi 3-9 lakini mwaka huu inaanzia 3-7, vitu vingi ni tofauti sasa huo usawa ni upi hapo. Unajitesa bure kutetea u....zi wakati kila aliye na akili timamu anaona kabisa kuwa NECTA...
  4. S

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Big results Now itatumaliza kabisa kwa staili iliyotumika kupanga motokeo mwaka huu ni vigumu kuyaamini. Hivi Prof Mukandala bado ni mwenyekiti wa NECTA?
  5. S

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Mkuu nimekuelewa kuwa zamani hata waliokuwa wanapata F zote walikuwa wanaenda A-Level isipokuwa kwa kundi hili walianza kuchukua wale wenye ufaulu wa kuanzia C tatu ndiyo maana wamefanya wonders!!!
  6. S

    Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

    Watu walikuwa hawamwelewi mama Joyce Ndalichako lakini kwa hali ilivyo sasa wameshaanza kumkumbuka kabla hata hajamaliza mwaka tangu alipong'oka pale NECTA. Ukweli kama una mapenzi mema na nchi hii huwezi kufurahia hata chembe kinachoendelea kwenye sekta ya elimu eti kwa kivuli cha BRN
  7. S

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Mkuu mama Joyce alikuwa na mchezo gani? Mie nilidhani kiwango kimepanda kwa sababu mwaka huu alama za madaraja yote kuanzia A mpaka D zimeshushwa sana na ndiyo maana hata idadi ya pointi za I hadi III zimebanwa sana maana kama I ingebaki pointi 3-9 basi waliopata I wangeweza kufika asilimia 50
  8. S

    Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    Hakika hakuna kama Kikwete ni mtu wa watu
  9. S

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Waafrika tunapenda sana starehe kuliko kazi
  10. S

    Serikali ya CCM tuoneeni huruma wasukuma na zao la pamba

    Sasa hihi mkulima hana chake
  11. S

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Hakika yametimia ni usanii mtupu wanachezea viwango vya ufaulu ili kuwachanganya watu yaani kila siku mabadiliko lakini kweli lengo limetimia
  12. S

    NECTA yapandisha hadhi Mitihani ya MOCK, sasa kutumika kama CA

    Kwa nujibu wa gazeti la habari Leo la tarehe 26/6/2014 NECTA itakua inatumia alama za mithani ya Mock kama CA kwenye mitihani ya Kidato cha Nne na Sita. Je, hii imeakaaje? Maandalizi ya MOCK yanafanyika katika mazingira ya kuaminika kiasi ambacho NECTA ichukue hizo alama na kuziunganisha na...
Back
Top Bottom