Recent content by Shafii Dauda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 50 haina kazi

    mkuu tushirikishane kama ikiwezekana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

    hata mi huwa ananikosha sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha kuwa hakuna Watu wanaoteka na kuua Wanafunzi kwa kutumia Noah

    ni habari ya kweli kabisa kuna mbibi wamemteka wakimwambia unatakiwa ulete mboga katika hotel kwakua huyo mbibi ni muuza mboga kwahiyo wakampandisha kwenye noah walipofika huko kibao kikageuzwa pigia ndugu zako uwaage simu ikapigwa na mi ndo jirani ya ndugu zake
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha kuwa hakuna Watu wanaoteka na kuua Wanafunzi kwa kutumia Noah

    kabebwa mbibi mmoja wamemteka then wakampeleka makao makuu yao wakamwambia wasiliana na ndugu zako uwaage mwili wake umeokotwa umetolewa sehemu mbali mbali za mwili nasikia wameua wanafunzi mbezi dar es salaam nini hasa wanacho kitaka? =========================================== Polisi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: waliochaguliwa ualimu ngazi ya cheti 2014/2015

    nimechaguliwa greenbird ordinary diploma in primary na nina four ya 32 ila nilipiga masomo ya scienc nikakosa pass ya phz na math tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye joining instruction ya Chuo cha Ualimu Greenbird

    hicho ni cha private ndo wamenitupa huko third selection
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye joining instruction ya Chuo cha Ualimu Greenbird

    au hakuna aliyechaguliwa hapo
  8. S

    JamiiForums Tanzania UDOM: Tangazo kwa Wanafunzi wa Stashahada Maalumu ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati

    vipi kuhusu waliochaguliwa vyuo vingine hasa vya private?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kwa hili tafadhali

    waungwana nahc hakuna anayejua swala hl
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kwa hili tafadhali

    profile imerud sawa naomben mnipe maelekezen
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kwa hili tafadhali

    cha kwanza nimeandikiwa selected katika profile yangu katika chuo cha ualimu green bird ODP arts''3rd-' ila kwenye orodha sipo apo inakuaje? Pili lini tarehe ya kuripoti kwa wale wa 3rd selection na unatakiwa ulipe kuanzia kiasi gan? Fomu ya kujiunga nitaipataje? Mwisho profile yangu leo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye joining instruction ya Chuo cha Ualimu Greenbird

    Habari wakuu, Msaada au aliye chaguliwa hapo anijuze jinsi ya kupata fomu nimechaguliwa ordinary diploma. Vp kuhusu tarehe ya kuripoti nk Natanguliza shukraan
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ada mpya vyuo vya ualimu

    hv wakati mnachagua vyuo si waliorodhesha na malipo?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jina halionekani kwenye list ya chuoni ila NACTE lipo

    hata mimi nimechaguliwa third inyasi roman s1880/0193
Back
Top Bottom