Recent content by Shafi motivation

  1. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu

    Maabara yako inatumia vipimo vya mabeberu au vya kutengeneza mwenyewe? Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  2. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu

    Hizo ni takwimu za Dada Ummy au zako? [emoji23] Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  3. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu

    Viiip kama yamepakwa sanitizer? [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  4. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu

    Kwa kuangalia picha hii Je, ni maduara mangapi yanavirusi vya Corona? Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  5. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maths O-level ulipataga A ya ngapi? (Sacarsm) Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  6. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu!

    Hahahahaaah sasa gari ipo kwenye mteremko kaa mkao wa kula... Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  7. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemshabongo kwa wenye akili tu!

    John ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol. Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote?? Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  8. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatulisha matango bhana hebu tupe jibu tuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Shafi motivation

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wenye akili tu!

    Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
  10. Shafi motivation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazalendo wapenda soka hii inawahusu

    Habari WanaJF, Shiriki katika utafiti unaofanyika kuhusu mpira wa nchini tanzania kuhusu athari ya uongozi wa timu kutokuwa na ukaribu na mawasiliano na mashabiki wake. Mawazo yako kama mwanamichezo ni ya muhimu ili kupata data zenye mashiko zaidi. Fuata link hii hapa chini...
  11. Shafi motivation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wapenzi wa mpira nchini Tanzania.

    Shiriki katika utafiti unaofanyika kuhusu mpira wa nchini tanzania kuhusu athari ya uongozi wa timu kutokuwa na ukaribu na mawasiliano na mashabiki wake. Mawazo yako kama mwanamichezo ni ya muhimu ili kupata data zenye mashiko zaidi. Fuata link hii hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116]...
Back
Top Bottom