Special kwa wapenzi wa mpira nchini Tanzania.

Jul 21, 2016
11
3
Shiriki katika utafiti unaofanyika kuhusu mpira wa nchini tanzania kuhusu athari ya uongozi wa timu kutokuwa na ukaribu na mawasiliano na mashabiki wake.
Mawazo yako kama mwanamichezo ni ya muhimu ili kupata data zenye mashiko zaidi.
Fuata link hii hapa chini
 
kukosa udhamini katika ligi, kujiingiza kwa bepari na kutaka faida ktk timu kutokana na hali duni ya kiuchumi kwa klabu pamoja na umbumbumbu wa wanachama juu ya haki zao kwa klabu na umiliki wao wa mali za klabu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom