Shafi motivation
Member
- Jul 21, 2016
- 11
- 3
Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
Mara 12.
Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
Instagram: @thelist_tz kwa chemshabongo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama swali lenyewe ndo hilo, mimi sina akili mkuu....ngoja nitoke kwenye huu uzi wako haraka sana.Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
unatulisha matango bhana hebu tupe jibu tuuhwote wakikosea mniite nijibu, nikijibu sa hizi chemsha bongo itakosa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaupitaje bila ya kukutana?Hazikutani! Isipokuwa mshale wa dakika huupita mshale wa saa.
Kamwe haziwezi kukutana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kukutana na kukuta?Sasa unaupitaje bila ya kukutana?
Nimekupata, inamaana ili tuseme imekutana ni lazma iwe in opposite direction.
We jamaa kumbe upo humu, mbona hutemi madini? Kimya sana.Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
Hahahahaaah sasa gari ipo kwenye mteremko kaa mkao wa kula...We jamaa kumbe upo humu, mbona hutemi madini? Kimya sana.
1440 nimipiga 60×24Kwenye saa ya mshale, mshale wa saa na dakika hukutana mara ngapi kwa siku?
PoaHahahahaaah sasa gari ipo kwenye mteremko kaa mkao wa kula...
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
maths O-level ulipataga A ya ngapi? (Sacarsm)1440 nimipiga 60×24