Recent content by shadyajuma

  1. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

    Hamna mpendwa kama kweli alikuwa anateseka we umemtoa kwenye mateso basi heri ila umekosea tu padogo ungekuwa unamshauri rafiki yako akae na mpenziwe vizuri kama bado angekuwa haelewi ndipo ungemchukua
  2. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akiwa amekuacha alafu anakutumia sms ya kukujulia hali anamaanisha nini?

    Just Salam tu kwa hiyo we mjibu tu akikuletea maneno mengine oooh sijui sheitwan mkaushie
  3. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo nipo nae kwenye daladala naperuzi JF, naweza kumuuliza kitu?

    Muulize unatoaga ushauri kwenye post za watu wanaoombaga ushauri au anaperuzi tuuu
  4. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 36 lakini nampenda sana

    Angalia maisha kwanza hivyo vitu vipo dogo kama anakujengea nyumba na kukupa mtaji bas vichukue halafu uachane nae maana mke wa mtu huyo
  5. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mbona swali langu hulijibu?
  6. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mwanaume akichubuka wakati wa tendo linasababisha na nini?
  7. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mkuu mbona hujanijibu swali langu
  8. shadyajuma

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari doctor hivi mvulana akitembea na msichana baadae mvulana awe anachubuka tatizo linakuwa ni nini?
Back
Top Bottom