Recent content by Shadiel

  1. Shadiel

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa Niaba; Shule za Sekondari ( Somo la Computer Science) Alipo ni Halmashauri ya MTAMA...Lindi Anataka kwenda Halmashauri ya ARUSHA JIJI/ ARUSHA DC
  2. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Sifa anayo, minimum pts ni 4...achague kozi kwa umakini, atapata
  3. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Diploma ni kwa waliosoma masomo ya Sayansi tu
  4. Shadiel

    JamiiForums Tanzania MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    Deadline ni leo, Link ya kuapply: MOE | TCM Maelezo :
  5. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Maskini pia hutoa sadaka, acheni ujuaji
  6. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Ukitoa special schools, shule za Kilimanjaro zina ushindani mkubwa,hasa shule kongwe....kuhusu walimu , Shule nyingi za mjini zina walimu wa kutosha
  7. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Kubadilisha inawezakana, aombe apate nafasi tu....kwa nini anataka Lyamungo? Maana Lyamungo ushindani ni mkubwa
  8. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Shida ni kwamba CBG wanaochaguliwa wenye F ya MATH ni Division II, ajaze ajaribu bahati yake....ila kama anataka PCB sana hata private mnaweza kumpeleka
  9. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Ajaribu CBG, ila kama ndoto yake ni kusomea kozi za Afya, mpelekeni Chuo. Kuhusu penalty, haipo
  10. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Kuchaguliwa PCB, lazima ufaulu Math,at least D
  11. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Itakuwa we ndo ulimzuia dogo kumuokoa rubani
  12. Shadiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, sadaka haitolewi Ikulu kama ni safi au chafu ipelekwe madhabahuni itakaswe

    Hangaika na mambo unayoyaweza
  13. Shadiel

    JamiiForums Tanzania NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

    G.P.A ikiwa kubwa rank inashuka...compare point 7 ni division 1 ila point 18 ni division 2
  14. Shadiel

    JamiiForums Tanzania NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

    Matokeo yapo sawa,,,Katika kufanya ranking kinachoangaliwa ni Grade Point Average (G.P.A) ya shule....G.P.A ya shule inakokotolewa kwa kutafuta average ya G.P.A ya masomo na Division. Ukiangalia G.P.A ya masomo kwa upande wa ANWARITE GIRLS wamezidiwa na FEZA BOYS
  15. Shadiel

    JamiiForums Tanzania Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

    HAITATOKEA
Back
Top Bottom