Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

Sasa mkuu CBG combination ni C flat Je akikubaliwa ku change kwenda PCB ni simple au difficult sana anatarajia kujiunga lyamungo High school
Kubadilisha inawezakana, aombe apate nafasi tu....kwa nini anataka Lyamungo? Maana Lyamungo ushindani ni mkubwa
 
Ushindani yaani ni wanafunzi wengi wanahitaji kujiunga pale? Na kama ni hivo samahani mkuu unaweza ukanisaidia shule yenye sayansi ambayo haina uhaba wa walimu wa sayansi na ambayo ushindani wake wa kujiunga ni mchache
 
Ukitoa special schools, shule za Kilimanjaro zina ushindani mkubwa,hasa shule kongwe....kuhusu walimu , Shule nyingi za mjini zina walimu wa kutosha
 
Back
Top Bottom