Recent content by Shadie0011

  1. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe anajinasibu kuwa na wenzake sita ndani ya CCM

    Sasa uyu ni raisi au waziri wa ujenzi Sisi ayo madaraja na uwanja wa ndege havitusaidii chochote tunataka maendeleo ya mtu moja moja
  2. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania ‘Morning Glory’ kwa wanandoa

    🤣🤣🤣🤣 we jamaa nimekukubali
  3. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania ‘Morning Glory’ kwa wanandoa

    Dakika 40 ??? Unafanya mazoezi ya marathon Kama mnapendana dakika 5-10 wote mnakua mmeridhika kbs
  4. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha azimio kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia kuitokomeza Covid 19

    Mbona mm sijaona mbinu yoyote au ni yale maombi
  5. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Some people never learn

    Sasa kingereza cha nini ili tukuone msomi au Punguza ushamba
  6. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Unaakili fupi sana kwa haya mawazo yako This shows how you think awkward
  7. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

    Aisee umeandika upupu najuta kusoma Hii thread haina kichwa wala miguu ata sijui unatumia nini kufikiri
  8. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Sasa kingereza cha njnj wakati mtoa mada kaandika kwa kiswahili yani mnaboa kwa huu ujuaji
  9. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Kauli gani huwa hupendi kusikia au kuambiwa?

    Hahah hii nimeipenda
  10. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

    Umeongea jambo la maana sana Nimekuelewa vzr sana...ata mm uwa na hasira sana ila nimejifunza kitu Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

    Ila we jamaa unajifanya mjuaji sana,kila kitu unajifanya unaelewa kuliko wengine Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    Rais wetu alishasema hapangiwi Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Shadie0011

    JamiiForums Tanzania Geita: Watu 5 wamefariki na wengine 14 kujeruhiwa baada ya Magari kugongana

    Duh Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom