Recent content by shadhuly

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Acha kutukana watu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Shehe Mwaipopo: Wakati Dini nyingine wanakazana kujenga Mashule na Hospitals Bakwata wao Wamekazana kuhakiki Mali za Urithi!

    Ujenzi wa shule , hospital waendelee serikali, dini iwalee waumini kumjua mungu na kuwa watu wema. Maana hata hizo shule na hospital zinazojengwa gharama zake ni zaidi hata ya gharama zinazotozwa ktk shule na hospital za serikali.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Mkataba wa uendeshaji wa bandari kati ya Dp world na TPA bado, hatua hio itakavyofikia muda wa mkataba na mambo mengine yatawekwa humo. Mkataba ulioridhiwa na Bunge unahusu mashirikiano kati ya Dubai na Tanzania.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

  5. S

    JamiiForums Tanzania Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zasaini mktaba wa bomba la Mafuta

    Safii
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ziara ya kawaida ya RC wa Arusha? Imegarimu Zaidi ya Milioni 30

    Acheni majungu mwacheni afanye kazi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhani Dau aapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia

    Hongera sana balozi dr ramadhan kitwana dau
  9. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Innalilah wainna ilaih rajiun
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wamnyima dhamana Tundu Lissu, waandishi wa habari watimuliwa

    Lazima atamkumbuka jk aliekuwa akiwachekea
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Sijaona mantiki ya msigwa kutumia headed paper ya ikulu kwa kutoa habar. Hio kuwa kama ya kitaifa wakati ni personal event za raisi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    huyo ndo magufuli kwa w kweli hatanii bali anamaanisha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza viwango vya tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere

    kwani kivuko ulikuwa unavuka bure?
Back
Top Bottom