Tanzania na Uganda zasaini mktaba wa bomba la Mafuta

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
27,309
74,854
Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeee


1.jpeg
2.jpeg
 
jamani mpaka popcorn zangu zinaisha sioni miradi inayozinduliwa kuanza kazi
Hope huu utaanza soon, wacha nitengeneze popcorn nyingine hapa:D:D:D
Mkuu mafanikio ya kiuchumi sio kama mechi ya soka, ambayo ndani ya dakika tisini inakuwa imeshamalizika na matokeo yanakuwa yameshajulikana.
 
Hongera Magu, Hongera Museveni, Hongera Mawaziri husika na hongera wataalamu wa pande zote mbili.

Tanzania na Uganda zina historia ndefu sana.
 
Ni jambo jema,ila hiyo sifa mnampa asiyehusika!Ameikuta ngoma imeiva

Ngoma gani imeiva?

++++

Magufuli baada ya hotuba yake, amewakaribisha waandishi wa habari waungane nao pamoja kupata chakula cha mchana...amesikika akisema ... leo wale nao. Na wameambiwa waache vyombo vyao walipokuwepo ili wajiachie na kula mlo kwa raha zao.

Leo mapaparazi wamepata furaha sana kula na maraisi wawili.

Habari nzurikwa kweli kwao, na wataikumbuka siku hii kwa furaha.
 
Back
Top Bottom