Ukweli utabaki kuwa kweli,-Mtu ambaye anaamini kuna Mungu, tutakubaliana kila la kheri na la shari, kama hili ghalika la Japani
kuwa yote ni mipango ya Mungu.
Tatizo linakuja pale kwa wale ambao hawana imani na Mungu, ukiwauliza wanakwambia ni "Nature". Sasa Nature ni kitu gani na maana yake ni...