Recent content by Shabikia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Ukizoom hiyo picha utapata vipimo vyote
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Hiyo hapo sema kingine
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Naitaji kiwanja gezaulole kilichopimwa cha kulipia kwa vipindi naweza kupata kweli kama kuna kampuni inayofanya hivo nipeni mchongo please
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Naitaji kiwanja gezaulole kilichopimwa cha kulipia kwa vipindi naweza kupata kweli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Mie navuta kiti nikae nasome comments za waja nijifunye Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni sehemu nzuri Sana kuishi Dar es salaam kwa sasa

    Kigamboni ndo habari ya mjini kwa sasa wajanja wote tupo Kigamboni Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani ulishapitia Kwa mafundi?

    Duh pole mkuuu ila changamoto za mafundi ni nyingi Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja kwa Mil 5 Dar es Salaam

    Ngoja madalali wa Jf waje ila kwa hayo maeneo kwa pesa hiyo ukipata na mie nistue Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Kama una ramani nzuri nipe Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hidden roof/Paa la kuficha: Naweza kuezua na kuweka paa la kawaida au ndo imekula kwangu?

    Habari za usiku huu wana wa JF, Nimekuja kuomba ushauri maana nimewaza peke angu bila kupata majibu. Nimejenga kajumba kangu wa style hii ya sasa la bati la kuficha ila sasa kiukweli nakosa usingizi maana si kwa kuvuja huku. Hivi naweza kuezuwa na kuweka paa la kawaida au ndo imekula kwangu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

    Nenda Kigamboni utapata eneo zuri kwa hiyo hela japo si njia ya Tanga. Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom