Recent content by shabhibhii nafwa

  1. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania hili ndio kundi bora la mziki

    Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa watoto. Ali kiba, Diamond na wengine mkajifunze mziki kwa hawa watoto sitanii huu ni ukweli...
  2. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania SGR bila demokrasia, ni zaidi ya utumwa

    Mkuu kiukweli ulichoandika kimenitia simanzi. Mimi na ww tunawajibu wa kufanya mageuzi katika nchi yetu. vinginevyo tutaumia. Hivi ikiwa miradi inayotekelezwa ipo chini ya kiwango nani atahoji maana rais wetu keshasema yy ni jiwe. 26/4 inatuhusu
  3. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    Ulevi wa madaraka
  4. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha sukari Kagera na Serikali ya Uganda wavyohujumu Serikali sakata la sukari

    Huo ushauri ni mzuri ila babaako ni fala
  5. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Hakika tz hakuna bunge. muda mwingingine inatia huzuni . Kama huyo ni mbunge ambae wajibu wake ni kusimamia serikali. What's do you expecting ? Maandamano ya mange muhimu sana . Leo natangaza rasmi kuwa 26/4 nitaingia barabarani. pasco mayalla upon apo.
  6. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    mungu mkubwa. ila awe uliholo wane sijuinawe uwanza aje bhabebe maana ulinishihelehele sha post umu. najile utumile itawa lilenga saga uwomvwa. manyi wewe mwene. owo ushauli tu. kutekanatekana ni ushamba ndugu yangu
  7. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar & SZA- all the stars: Wasanii wetu mna nini cha kujifunza?

    go utube search him. write wamwiduka band u will get a result
  8. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Mnaotarajia kuandamana someni hii...

    nitaandamana. risasi za nini
  9. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar & SZA- all the stars: Wasanii wetu mna nini cha kujifunza?

    mkuu wale jamaa wazuri sema wamekosa promo za midia alafu kuna dogo anaitwa wamwiduka hatari sana
  10. shabhibhii nafwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    umetisha mkuuu hakika umeongea ukweli
Back
Top Bottom