Recent content by Shabbyskillz2030

  1. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    jamani tumechoka kusubiri huko tamisemi veepeeeeeee
  2. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    na haraka haraka haina baraka subira ya vuta heri mwezi 7 tutacheka wote humu
  3. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    jamani me nimechoka naacha kazi nimechoka huu uhamisho mbona hueleweki
  4. S

    Msaada namna ya kuhuisha (re-new) leseni ya udereva

    Wadau kama ushapata leseni ya lena na ukaenda chuo ukapata cheti je taratibu za kupata leseni yenyewe zipoje?
  5. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    mwenye ushuhuda nani?mbona tunatiana presha kimya kimya tena
  6. S

    Ist,fancargo, vitzs na stalet ipi nzuri?

    nisaidie wadau gari gani nzuri kati ya hizi IST,FANCARGO,VITZS NA STALET
  7. S

    Ipi gari ya kuchukua? Toyota RunX / Allex, IST, Spacio, Raum,Carina

    mi nisaidieni nichukue ipi kati ya IST, FANCARGO, VITZS, STALET jaman ipi ipo makini kati yahizi
  8. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    wadau nisaidie gari gani nzuri kati ya IST, FANCARGO, VITZS na stalet
  9. S

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    subira ya vuta heri tuendeleeni kusubiri jamani mambo yatakuwa mazuri hivi punde
Back
Top Bottom