Kuna hosp inatwa miabong ni ya wakorea,Hawa jamaa wanafanya huduma zao kuanzia jumanne mpaka jumapili,malipo yao yote wanapokea bila kutoa stakabadhi yoyote,hawalipi Kodi kifupi huo ushahidi wa kwanza watu wa tra sio kwamba hawajui kwa Hy tunatakiwa tuwawajibishe
Ndio maana nakwambia ukiwa mpumbavu jifunze kukaa kimya sio Kila kitu kushabikia tu,huna unachokijua au kama unajua unajipa ujinga kwa lazima acha kushabikia watu kuuwawa ipo siku utakufa wew na ujinga wako wa uchawa
Uliwahi kwenda tra,tic,hazina labda kuwawajibisha viongozi ambao wanajilimbikizia Mali na kigumbukwa na rushwa Kila sehemu,au uliwahi kuwawajibisha viongozi ambao watoto wao Wana mamlaka ya kuidhinisha malipo ya madeni na kupewa asilimia 10 ikiwa hata hawafanyi kazi sehemu yoyote? Hawa ndio wizi...
We nawe acha kuwa mpumbavu sio sifa ujue,wew unaweza kuwa ni mmoja wa wajinga walioanzisha kuchoma ili kuwapa nafasi wapumbavu wengi waliokuwa kazini siku ya tar 29,acha kushabikia vifo ikiwa shilole analipwa Kila kitu chake alichopoteza vipi waliokufa wanalipwa roho zao na nani?
Kuwa ccm sio kosa,kosa ni kuwa mpumbavu wa kushabikia ujinga,nyinyi ndio mnafanya watu wachukie chama kwa ushabiki wenu wa kipuuzi,kwenye uovu kemea sio kuweka ushabiki sio mpaka usubiri siku wakosee wampige risasi mama Yako ndio uumie,huo upumbavu wa fikra mbovu ni mzigo
Hajazaliwa kwenye dini Sina uhakika kama anaijua dini sawa sawa na Sina hakika kama ana hofu ya mungu,Hilo shungi tu ameanza kuvaa baada ya kuwa kiongozi wa juu hata yeye amewahi kuthibitisha Hilo,kwa Hy kama ana madhaifu yake na dini nyingine huo ni utashi wake yeye sio uislam unavyoelekeza
Sio masheikh ni wapuuzi wenye njaa na uchawa wa kijinga kuvaa kanzu hakukufanyi kuwa sheikh,kuwa kiongozi wenye jina la kiislam hakukufanyi kuwa mwenye hofu ya mungu,tokeni kwenye udini simameni kwenye kupinga utekani,viongozi kujipa utawala wa kifalme,kujilimbikizia Mali nk
Wale na sheikh na wew akili zenu zote za kipuuzi mambo ya siasa mnaweka dini,Islam ndio Samia au? Juzi mlikuwa kwenye siasa Leo mnahama kwa Kasi kuja kwenye dini mnajua mnachotaka kweli nyinyi
Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Hakuna haja ya kutumia ghalama ikiwa DNA za asili zipo,Kila mtoto anafanana mistari ya mikono na baba yake mzazi,nenda kafananishe viganja vya mikono kama mistari inafanana ni wako kama haifanani umepigwa,ila fanya kanza tafiti angalia kama mzee wako yupo na una hakika mnafanana kaangalie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.