Recent content by shabani mmanga

  1. S

    Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Ilishawahi nitokea, niliugua sana kwa kweli but nikakaza. Kuugua huwa kunamaanisha nn?
  2. S

    Tujikumbushe kuhusu dharau zilivyowaangusha na wakajikuta wanakuona wa maana

    Nakumbuka enzi zile Mama wa kambo kafanya mpango dingi anitimue home na akafanikiwa lakini sasa ndiye naeihudumia familia
  3. S

    Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Bora mimi mimeamua kuishi kwa kutumia akili yangu zaidi ya comments za watu juu yangu as if sijui ninachokifanya
  4. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba yangu ya simu ni 0784856865. Nzega mjini
  5. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilishalipa gharama za kuingiziwa umeme tangu 11.03.2022 lakini mpaka leo kimyaa. Gharama zilikua 515,000/= huwa kuna utaratibu gani wa kuwasiliana na mteja ili ajue tatizo ni nn maana naamini kama hamko ktk nafasi nzuri ya kuwekea umeme pia msingeendelea kuwapa namba za kulipia
  6. S

    Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    Lakini itakuja kuanguka? Bora aongeze ili kazi ya ujenzi iishe kabisa
  7. S

    Ni jinsi gani Wasafi Tv inaonekana tena kwenye kisimbuzi cha Azam?

    Nadhani wana taarifa zote pia. Yaan kama tv zingine.
  8. S

    Ni jinsi gani Wasafi Tv inaonekana tena kwenye kisimbuzi cha Azam?

    Kama vipi waachane na kifurushi kila mtu alipie anazopenda waone kama hata hiyo 28.000 itafika. Mm talipia Hd tu
  9. S

    Ni jinsi gani Wasafi Tv inaonekana tena kwenye kisimbuzi cha Azam?

    Yaani hovyo kabisa. Wametoka kwenye bei ya jumla(kifurushi). Sasa wanaanza rejareja. Na ukilipia 1000 unaangalia siku ngapi?
  10. S

    Mikoa yenye makazi yenye vyoo Bora Tanzania

    Hizo % zilizobaki 53.% zimeenda wapi. Utafiti umejali ukubwa wa maeneo au?
  11. S

    Wazazi tunatengeneza kizazi cha hovyo sana cha baadaye

    Wengine wanabembelezwa kwa smart phone. Yaani ili litulie basi lazima lishinde na simu ya maza. Na sms linasoma
  12. S

    Stika za usalama barabarani, bado zinatumika au la?

    Huyo itakua alichunguza sana na kutaka kuchimbachimba sheria inasemaje kuhusu hizo stika. Halafu ukitaka kuwatibua zaidi we watajie Lugola. Watafuata sheria halafu utapoteza muda mwingi.
  13. S

    Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

    Yaan mpaka naona aibu. Huwa napiga mpaka lita 6 kwa cku. Sometimes huwa mpaka nahc kizunguzungu. Nimekoma kabisa
Back
Top Bottom