Wajumbe wa kamati kuu kipi
Naweka kumbu kumbu sawa tu.
Baada ya kujiuzuru uwaziri mkuu na mabadiliko kadhaa yaliyofanywa ndani ya chama Lowasa hakua mjumbe wa kamati kuu ya chama (cc).Alibaki mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa na kwingineko.
Msindai na wenzake waliohama ccm walijua fika EL ambaye alishawapanga kupata nafasi fulani angeshinda urais kwa tiketi ya CCM.Alipokatwa na kwa kua waliamini ana uwezo mkubwa wa kushinda nao wakaona wasipoteze vyeo walivyoahidiwa wakamfuata CDM.Kura zilipokua hazijatosha sasa wanaweweseka tu.Ni...
hii ni kama vyama vingine tu vinavyofanya kwenye nafasi ya uenyekiti.(Hususan CCM na CHADEMA).Huko ni mwendo wa ndiyo au hapana tu.Huenda watu wanaogopa kuchallenge au wanakatazwa kugombea).CHADEMA wamekwenda mbali zaidi kwani watu wanahojiwa na kutakiwa wasimame juu wanaokubali tena...
Invisible 275.Sema baba.
Mpe ukweli huyo mtetezi wa wezi.
Anakimbilia kusema sheria za utumishi wa umma mara Cyber crime mara eti wengine tumejiunga jana tu JF.Haya si mambo ya msingi.
Rais anapitia humu.Hicho chuo ni uozo mtupu.Time will tell them.
Afadhali Uzalendo umeliona hilo.Hapo dalili si nzuri.Mara anakichafua chuo mara anaichafua serikali,Unapaswa kutoa majibu yako kama ulivyofanya kwa barua.Usijitetee sana.TISS wapo wanafanya kazi wewe hujui tu.Unataka kusema mkuu wa chuo haishi nje ya chuo.Mwenyekiti wa bodi yupo.Ofisi ya mkuu...
Mie siungi mkono ugomvi wenu ( kama upo).
Sheria za makosa ya kimtandao na zile za utumishi wa umma zipo.
Je hizo unataka kutwambia zinaondoa uhalali wa madai ya huyo ndugu zidi ya utawala wa chuo?? Uongo au ukweli utajulikana kama mwenye rungu akiamua kufuatilia.
Tusubiri kama ni mwongo...
Binafsi sioni hofu iko wapi kwa uongozi wa chuo.Kwani rais akiamua kulifuatilia ana watu wake wa kazi maalum.Watabaini ukweli tu na hatia stahiki kuchukuliwa.
Just relax.Ukiwa na hofu na kujitetea unaweza kuibua mashaka kwa wana JF bure.
Natumai president ameliona hili na watu wa TISS huenda...
uzi huu mkuu haupaswi kutolewa humu moja kwa moja.unapaswa kudondoshwa humu hata kila baada ya wiki mbili.Umetukumbusha mambo mengi saaana.Binafsi nimejihurumia na wakati mwingine comments zimenichekesha sana.Ni mizoga,Masalo na chupa za juice zilizookotwa mitaroni zikiwa na mikojo.
Aiseee hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.