Recent content by shaban lee

  1. shaban lee

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Umefanikiwa Hii inawahusu watu waliosomaa njee Je ww ni wa sampuli hyo
  2. shaban lee

    KERO Huu ujumbe wa Ajira Portal nawezaje kuupatia ufumbuzi?

    Nilipata changamoto kama hyo kwenye system yao....wakaniambiaa nifanye mambo mawili la kwanza nibadilishe browser then ni upload veti...nisipovionaa ni delete cache kwenye bworse nayotumia then ni update upya... So ukitaka kujua namna ya ku clear cache kwa browser yako google chap then fatwa...
  3. shaban lee

    KERO Huu ujumbe wa Ajira Portal nawezaje kuupatia ufumbuzi?

    Mkuu kwema...clear cache kwenye browser yako then upload upya
  4. shaban lee

    Msaada: Nashindwa kubadilisha cheti Ajira Portal kuweka kilichokuwa certified

    Mkuu kwema nami nilikutana na changamoto hyo Cheti kilikuwa kwenye mfumo wa pdf kikawa kinagomaa ku upload ikabidi ni scan kwenye mfumo wa picture jpg kikakubali Option ya pili clear cache kwenye browser unayotumia then upload upya Option ya tatu badili browser
  5. shaban lee

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu kwanza nashukuru umézingati maombi ya sisi wasomaji wako kuturudishia burudani hii nzuri. Pili, option ya kwanza ni nzuri zaidi.
  6. shaban lee

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu unatusaidiajeee maana arosto imetukabaaa
  7. shaban lee

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    ukiomba mkate huwezi kupewa nyoka ila mkate....kamaa anafaa oa tu.....ila ujipange tu
  8. shaban lee

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    hahaha kipindi cha magu😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom