Recent content by Shaban Kipeta

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Inawezekana kwa kweli...kuna jamaa hapa Kinyerezi ana frame analetewa mayai 300 trays na 9 Hills Company na ndani ya siku 2-3 mzigo mwingine unawasili,na hana pikipiki wala baiskeli ni watu wanakuja wenyewe dukani...sipati picha kama angejiongeza na pikipiki 2 used for delivery....na kuna wakati...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza/kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Mungu hakupi vyote mjomba...ukipenda boga,penda na ua lake...ishi nae,utajikuta unazoea na wwe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

    Bob...makadilio ya km/l kwenye used car ni kusadikika...tafuta gari nzuri ya chaguo lako na wengine vile vile...ata ukichacha unaliuza bila shida...(fuel ⛽ economy cars).
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

    bora kuoshwa mguu,kuliko kukandwa mwili na njemba kwenye vituo vya massage...na kwa nni hivi vituo vipo vingi sana mikocheni na msasani?kunani...?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuingiza Mchele nchini Kenya

    Habarini Wadau Naomba msaada kufahamu taratibu kwa yoyote aliyewahi kufanya biashara ya kusafirisha Mchele kwenda Kenya. Wasalaam
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Nauli Dar-Nairobi 65k,Dar-Mombasa 30k
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

    umemsahau Tanasha kwenye list,alipita w.c bee chuo cha mziki...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    kuachana sio jambo la mzaha jamani,husiombe likukute...lisikie tuu kwa jirani yako...
Back
Top Bottom