Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

Unywaji murua sana wa hii gari ni 13kpl ikiwa speed ila ikiwa slowly ni chini ya hapo!

Kwa Class ya gari tu thats a Luxury Sedan! Kwa kawaida Luxury cars nyingi huwa hazina fuel efficiency nzuri japo intensity itatofautiana kwa vipato vya mtu na mtu!

Ila burudani imo kwa kweli, kama target ni burudani ishi humo ila kama target ni mafuta machache ruti nyingi jisalimishe kwa shujaa wa misele “IST”
 
Kwa trip za mjiini kama Daresalaam inaweza kula ngapi kwa 1ltre mkuu ?
Average ni 8-9kpl kwa misele ya town! Kama mfuko wako uko freshi ukitia full tank ukawa unajazia ifikapo nusu tank utainjoy zaidi!

Kama gari haina service au imetokea kwenye mmiliki mwenye mkono wa birika lazma iwe na poor economy 6-8kph kwa misele ya below 40KPH speeds!
 
Kaka hii 8-9kpl ni wakat AC iko on au gari iko vioo wazi ?
 
Back
Top Bottom