Recent content by shabaan Dogo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

    Utakua umekunywa maji Lita Kama 7 kwa siku hata kama utakua unakojoa lkn nimengi mno ukizingatia wengi tuna kilo 60-75 hayo mengine naunga mkono Ila hapo kwenye maji utafiti uendelee
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la homoni

    Tatizo ndo hilo homoni hiyo [emoji115]
  3. S

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Hiyo tiba lishe ni ipi kuweza kuzalisha homoni hiyo ni vyakula gani Labda.... Na hiyo tiba ya mimea ya kiasili ni ipi naomba kufaham mtu aweze kua sawa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Naomba kujua tiba ya kuzalisha / kuimarisha homoni ya Testosterone na kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume... Pia naomba kujua mwanamke kuto kuona hedhi homoni imbalance inahusika?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Hiyo hydrogen ions ni nini na inakazi gani na hiyo mimea yenye asili ya tindi Kali ni ipi maana swali limekaa kitaalam na majibu pia yapo kitaalam nime pendezwa kujua mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la homoni

    Kuna mtu anahilo tatizo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la homoni

    Habari ndugu na jamaa naomba msaada jinsi ya kuzalisha / kuimarisha homoni ya Testosterone kwa vyakula /dawa za hospital anae faham zaidi mambo haya anijuze vizuri nawasilisha....
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Weed ni BANGI au kilevi tu mkuu
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Wangu akijaga ghetto hataki tabu ananipakia baby care tu huo muda wakuchezeana anasema yeye sio ngano
  10. S

    JamiiForums Tanzania Posts nyingi za kipuuzi za vijana wa Tanzania hasa Twitter zinaeleza tuna kizazi cha namna gani

    umenena vizuri sana tatizo lako bado upuuzi haujakuisha Unapo post jambo ambalo unaliona lina maana usisubirie like au comment kwenye hiyo post yako ndo ujue wadau wamekuelewa anza kwanza kuangalia jamii yako inayo kuzunguuka umeilimisha hicho unacho post? Na wanafaidika na hicho ulicho...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nakataa kuhusu uume mdogo a.k.a kibamia

    Naunga mkono hoja wanaume wengi tuna haribiwa na saicoloji na stress na sio hayo matatizo wanayo tuvisha wauza dawa uume nikiungo Kama mkono au mguu unapo kula vizuri mkono hua na afya njema na unapo fanya mazoezi mkono Huo hupata nguvu zaidi na uume ni hivo kula chakula sahihi mazoezi kiasi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

    Mkuu kuuliza Ndio kujua ni nguo gani hapo inaonyesha au kuashiria mapenzi ya jinsia moja? naomba kujuzwa mi naona zangu ni nguo za Kawaida tu nielimishe nijue
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na jasho kwa wingi wakati wa kufanya mapenzi ina sababishwa na nini?

    Kweli nakua speed lkn sio saana yakawaida tu na nikipunguza naona kama sifanyi kitu nimekua hivo kitambo na nlikua nachukulia kawaida lkn kama binadam unapo jiona kuna tofauti na wenzako vizuri kuuliza
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na jasho kwa wingi wakati wa kufanya mapenzi ina sababishwa na nini?

    Habari ndugu na jamaa naomba kujua kutokwa na jasho jingi wakati wa sex ina sababishwa na nini kila ninapo fanya sex baada ya dakika moja na kuendelea natokwa na jasho lingi sana kama nacheza mpira.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kuchemshia chai ya maziwa kwenye heater?

    Nimekuelewa mkuu
Back
Top Bottom