Recent content by sfau

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

    Hakuna kitu kama hicho, na hapa ndio yadhihirika chuki zenu, hadi kufikia kuzua uongo mradi tu wengine waonekane wabaya, hazuiwi mtu kuinfia pale hata sasa hivi twende nikakuthibitishie
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

    Wewe muogope mungu, tangu lini pale haruhusiwi mtu kuingia? Hata sasa hivi ukitaka nakupeleka acha uzushi na fitna kwa mwisho wake sio mzuri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

    Huna lolote, tangu ulivo post 2011 may mpaka hii leo kuna ukweli gani uliothibitisha uongo wako?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

    Sio kawaida kabisa, kama hana mwengine nje basi ana tatizo la kiafya. kwa ushauri na msaada zaidi nione PM
  5. S

    JamiiForums Tanzania mpo

    im new here
Back
Top Bottom