Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

Ama kweli sasa udini umekithiri mpaka hali inatisha! Unafiki wenu umepitiliza! Mna ushahidi gani nyinyi? Mimi ninaishi hapa Chadema Markaz na huo msikiti wa markaz ndio ninao swali swala zangu zote! Na hao watoto wanasoma hapo tunao muda wote hakuna jingine zaidi ya kuhifadhishwa elimu ya Quran. Na hayo mafunzo ya karate wala si kwao wanafunzi yeyote anaetaka anajiunga kama madojo mengine! Kama mnataka kujiunga mje kujiunga hakuna pingamizi lolote! Acheni unafiki na uchochozi wa kidini! Tanzania ni nchi yetu wote! Acheni unafiki!
Unafki uko wapi? kama wewe unakaa CHADEMA kweli sema ukweli hapa ili watu waijuwe kweli, baada ya Ubalozi wa Marekani Dar esalaam kulipuliwa wale CIA walifuata nini pale kwenye msikiti wa Markaz?
 
Wewe mtu mwovu, mzushi, mnafiki mwongo mchochezi na hufai kwenye jamii ya watu wema. Acha tabia hii mbaya ya uchochezi na ubaguzi.
Labda ungesema uovu wangu ni nini huenda ningekuelewa, hivi kufichuwa kambi za magaidi siku hizi unaitwa umbea? wewe utakuwa una spirit ya kigaidi na nimeshawaanika hadharani.

Na usidhani mimi huwa naishia kuandika tu hapa JF ili swala nimeshalifikisha Usalama wa Taifa na wameniambia wanafahamu ugaidi unaoendelea pale.
 
Huna lolote, tangu ulivo post 2011 may mpaka hii leo kuna ukweli gani uliothibitisha uongo wako?
 
Sio kweli hao watoto hawafundishwi kareti kama unavyotafsiri na hakuna mtoto wa miaka 3 ambaye yupo boarding. Na huyo Osama unaemsema namjua wala hayuko kama unavyosema!

Kwakua ujumbe huu umeletwa hapa sio kazi tena ya waandishi ni kazi ya usalama wa nchi na kama watasibitisha ni kweli kuna jihad zinafanyika pale hatua zichukuliwe na kama sikweli na huyu mleta Hii mada anastahiki adhabu kubwa iwe fundisho LA kutishia wananchi amani iliyotulia.
 
Edwin mtei ndio mtu wa kwanza kufunguwa Tawi la Chama cha upinzani huko kiwalani kwa sababu tawi liko barabarani ndio maana makondakta wa daladala kituo wakakibatiza jina la CHADEMA, lakini mpaka sasa sio kituo tu bali eneo lote linaitwa CHADEMA.

Intelijensia lazima itafika huko maramoja kujiridhisha kwa vile limetajwa hilo neno lenye herufi kubwa!! maana ni kama paka na panya.
 
Acha uchochezi WA kidini huutokusaidia. Swala la kumiliki eneo kubwa so ishu, kuna watu wanamiliki eneo kubwa kama makanisa Nao ni kwa ajili ya ugaidi?
 
Tuko salama na inteligesia inajuwa zaidi ya ujuwavyo wewe.Tuliza ball fanya shughuli zako za kimaendeleo bila wasi,kajiandikishe na baadae upige kura kwa amani na salama.
 
Thread ya kitambo ila ina maana sana kwa usalama wa taifa letu na dunia kwa ujumla
 
Baada ya kujinasibu kuwa anachokiandika ni ukweli mtupu nilitarajia jamaa anatushushia data kuhusu eneo hilo, badala yake anaporomosha udaku wa kike wenye shombo ya udini na chuki dhidi ya Waislam. Chuki kama hizi zilishapenyezwa wakati Fulani kuwa kuna kambi ya Al Qaida katika kisiwa cha ukerewe, wakati ukweli ukabainika baadaye kuwa ni kituo cha elimu kwa elimu cha waislam.

Aliyekuaminisha kuwa kila atokaye Pakistan ni gaidi ni hayawani kama weye. Unafurahi unapoona watu wa mataifa ya nje chini ya mwamvuli wa dini za ukristo wakitapakaa vijijini Tanzania kote kwa lengo la kueneza injili, lakini inakuwia muhali kuwaona wanazuoni wachache wa kiislamu kujumuika na watanzania katika kueneza uislam! Na unaona kichefuchefu kuona watoto wa kiislamu wakijifunza dini yao katika madrasa!!

Hila za kijinga kama hizo hazina nafasi hapa Tanzania.

Mbona
 
Mbona watu hawaongelei wale waliokutwa na mil 170 sijui, wale hawakuwa majambazi ila ni magaidi. Maisha waliokuwa wakiishi ni ya dhiki halafu wana hela nyingi kivile. Serikali ilitakiwa ichunguze source
 
Waforwardie Wamarekani CIA walete ndege zisizo na rubani wafanye mambo! Jihadists activities zimeongezeka sana! Hawa watu si watu wazuri
 
ImageUploadedByJamiiForums1438265649.545707.jpg
 
Mkuu waweza piga picha hizo compound.tuletee picha tafadhali....

Hao watoto ni wa Kitanzania?

Nakuunga mkono mkuu..hizo compound zipo vingunguti kiwalani..ukifika bus stop ya vingunguti..unafuata njia ya kuelekea kiwalani mkono wa kushoto ndo zilipo hizo compound..huruhusiwi kuingia..unasikia tu milio ya viitikio vya vijana wanaofundishwa kung fu na karate..ndani kuna nn?..lzm kuna kitu!
 
Back
Top Bottom