Kuna mambo mengine serikali inabd ijifikirie kwanza kabla ya kutoa uamuzi, hv walewoote wenye mashine za kukobia mpunga pale chato wanamashamba ya mpunga? Mkulima anapolima mazao yake hua anategemea kuuza hayo mazao je hua anawauzia wenye mashamba? Au hii ni nia ya kutapeli watu kwa kisingizio...
Duh hapo ndipo hua nakumbuka kwetu KIGOMA maana kule hua tunatumia mawese tu yaani kipimo hua kinaanzia sh 100 na unaunga maharage yako swaaafi kabisa ila huku ugenn twataabika tu..... Kufahatufi ila mazngaombwe tutaendelea kuyaona.
Ukitegemea kuajiliwa mzee kwa ss itakula kwako, na hii yote ni kutokana na mfumo mbaya wa elimu etu. Elimu tuipatayo ni ile inayotufanya tufkirie kuajiliwa ila c kujiajili, nakumbuka miaka ya nyuma shule zlikua na mashamba mifugo na hata kuku hivyo vyote humfanya mwanafunzi pindi amalizapo shule...
Unajua watu tunashindwa kulewa Mo kaeleza vzur mpango ake ila watu bado hawajamuelewa kaeleza hzo 20 bill anazotaka kuwekeza kwa simba sc kwamba anawapa viongozi ila itakua ataikopesha serikal na kila mwaka simba itakua inapata gawio la billion tank kama faida na hizo ndizo zitakazotumika kwa...
Kwetu tuliletewa mpaka Kodi ya maji yanayotiririka kutoka ardhn kwa hip mi cshangai kuletewa hip kodi tulipe tuu c ndio fikra za cc watanzania badala ya kufikilia vyanzo vingine vya mapato tunawaza kumuumiza huyu mwananchi wa chini ambae hajui hata cku ya Leo itaisha vp. Nakumbuka wakat wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.