Recent content by SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

  1. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    Biashara ya kuchezesha pool table inalipa?

    Nataka pool table naomba unipigie 0762336484
  2. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    DOMESTICALLY

    Siku zote katika maisha yako kabla hujatenda kitu chochote, kabla hujasema kitu chochote, jiulize kitu unachotaka kutenda au kitu unachotaka kusema je, kitaleta matokeo chanya kwako au hata kwa wengine? Sio kwa sababu unayo nafasi nzuri ya kutenda au kusema hiyo ikawa na maana kwako ufanye au...
  3. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    WILDLIFE

    BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana. Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna mtu atakufa katika nyumba hiyo. Hivyo imewapelekea watu wengi kuwa na hofu kubwa sana juu ya kiumbe...
  4. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    Tahadhari

    TAARIFA KWA UMMA. Hii taarifa ya Voda (kuzungusha gurudumu, ili ushinde zawadi) imesambaa sanaaa .Hawa ni matapeli, usijaribu kuingia kwenye account hiyo na kuweka details zako utaweza kudukuliwa mambo taarifa zako muhimu.Hivyo itakufanya utapeliwe!! Sambaza kwa wengine, Utawasaidia! Ahsante!
  5. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    Why

    Every dream has it's challenges
  6. SEVERIAN KAMUGISHA JACOB

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Hivi kuwa na hela kuliko jirani ni kosa? [emoji137] Ama vipi apewe nchi yake. Yawezekana ana hela kuliko kutokana na vyanzo alivyo navyo na kunilea haizuii kutokuzidi elimu. Na inategemea na vyanzo alivyo jipanga. Labda serikali ihusike kumuelimisha jinsi ya kutumia hela yake ili...
Back
Top Bottom