Kwa uelewa wangu, mimi nimeona mfano wa bracelet na Heren idk bt the point ni kila kitu kina thamani kwa Eneo husika.... Unaweza ukawa na saa ya miaka 300 ilyochakaa na isionekana thaman yake ktk maduka ya Vito ila thamani yake itkuwepo ktk majumba ya makumbusho ( museum )
Wazo lako ni zuri pia, Vijana wengi tunashindwa kujikita ktk biashara kwa kutaka kuanza Pakubwa bila kuptia padogo kwanza... Mi npo Dsm mtaji wa laki 2 nlianza kununua kuku wa kienyej kifaranga k1 elfu 20 * 50 ...
Hawana gharama kama kuku wa kizungu, nahisi gharama kubwa zaid ni eneo tu kama...
Ama ni yeye jamaa hajiamin, haiwezkan Ashindwe kupima Afya kukosa anachotaka..
MiMi nlishawahi kudate na nurse wa hospital, tulivyokutana hata kabla ya french kiss alkuja na HIV test na tukapima wote afta while majibu yaltoka Vzur akaruhusu mechi ichezeke ingawa na Kinga ili kuzuia magonjwa...
brother, Sizani kama ingkua rahisi kwa yeye kukataa pesa.. Pesa zinalimit pia, Uez nunua roho ya mtu....Inadhihirisha wazi as anajali Afya yake kulko io pesa unayompaga, mridhishe kwa kupima coz io ndo sababu ya msingi then anglia atkuja na kcngzio gan kingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.