Ni ufugaji mzuri sana na unalipa nasikia ila sheria zetu zitakubana mpaka utafilisika. Kama uko nje ya Tanzania unaweza kufanya kama Kenya ,Congo, may be na nchi nyingine lakin hapa kwetu, utapewa kibali cha kufuga ila cha kuuza nj mtihani. All your best
Israel is heading to its self destruction through the most idiotic coward Netanyahu. This time the entire Israel will flee to Europe. Sijajua wajinga kama hàwa wanaingiaje madarakani. Kwa sababu nina wasiwasi kama Netanyahu ni binadamu au ni jini mladamu ya watu, maana last time alichezea kipigo...
Ufisadi uko kila sehemu, hizo drones siyo expnsive kihivyo maana value ya kitu inaendana na performance yake..So wanatumia media kuwafumba macho watu na ku drain public funds za kutosha kwenda kununua hizo takataka zao. Huku Hao wanasiasa na wakuu wamajeshi wakipokea change nyuma ya mlango. Who...
Hata kama ni freedoom expression lakin nadhani Nairobi inaji position in the wrong way in the region maana wapinzani wote wa kanda wanafanyia declarations zao.Nairobi
Naona nao wamekua kama wale waafrica wenzetu wanaotaka kufia madarakani. Haijalishi katiba inakuruhusu, lakin kumpa mtu mwenye matatizo ya afya ya kiakili tena mwenye umri mkubwa ni kuhatarisha usalama wa nchi kwenye nyanja zote. Wanataka kusema kwamba democrats hakuna mtu mwingine wa kusimama...
The issue of climate change is a mere hoax ,there is more than that behind the scene. Worse enough is that our leaders and intellectuals have failed to read through the lines what's going on. We just following like herd being taken to the butcher without questioning. We lack the intellectual...
Hebu mwaga hoja zako zenye mashiko mkuu. Maana Kuna mtu anataka kuzimq hoja ya mtu Kwa kuleta neno Moja. Let convincing arguments halafu watu watasoma watakuunga mkono au la. Unahisi Haiti Ina tatizo gani ,mbona jirani yake Dominican republic Hana changamoto kama za Haiti. Ulishawahi kujiuliza...
Read the history and trend ya siasa ya Haiti au ongea na Haitians wanaojielewa watalipa full picture. Hivi Yale madini anayoleta vita Eastern congo hakuna anayoenda Marekani na ni watu wangapi wamekufa na wanaendelea kuuliwa Congo. Au ndugu yangu huelewi sera ya Marekani. Kama unafuatilia the...
Siyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
Haiti Inaandamwa na vitu 2, kwanza ndio watu wa kwanza weusi kufukuza utawala wa wazungu (slave Master) na kiongozi wao Toussaint l Overture alitumia fursa wakati Ufaransa walikua na changamoto za kisiasa jamaa akawafurusha wale wachache waliokuja wamebaki kama viongozi wa kizungu na hawakua na...
Nilisoma article Moja ya a western analysts alisema in the history ili uweze kuzuwia watu kupitisha meli eneo fulani ya bahati lazima uwe na fedha nyingi ,jeshi kubwa na meli za kivita kuliko wote. But Houthi with simple means and less cost wameweza kuweka naval blockade to western nations at a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.