Kweli wewe unajua mpira. Tatizo la team zetu wanataka walime leo, wapande leo wapalilie leo na kisha wavuna leo hiyohiyo
Sasa soka halipo hivyo kuna wakati lazima ujipe muda wa kujenga team na kuvumilia makocha kama wenzetu wa Uingereza
Tatizo jingine ni viongozi wa klabu kutaka umaarufu...
Jana mlikata moto mapeema
Sasa hebu tudokezee CCL tunakwenda na Mamqoba sijui Maboga au mnaleta mwingine wa kuja kumpa lawama?
Kumbuka Aragija hatakuwepo kwenye mechi zenu ujue 😂🤣😜
Sasa mtatoboa kweli kule CAF Champions League? Kwa mwendo huu wa ku park bus nina wasiwasi hata makundi mnaweza msifike.
Ile team ya Madagascar mliyopangiwa kucheza nayo round inayofuata sio ya kuwachezea kama mlivocheza na Simba. Kiwango cha soccer cha hiyo nchi kimeimarika sana miaka ya karibuni
Sema Waafrika hatutaki kuambiwa ukweli.
Pale Kenya Kocha wao wa team ya Taifa Ben Mac Carthy kawambia kabisa hata wampe kiasi gani hawawezi kuchukua ubingwa wa AFCON. Sasa hivi kuna wito wa kumtaka ajiuzulu
Huku kwetu huyo Maboga Mabichi kawaambia wananchi waachane na target ya nusu fainali...
Tafsiri ya Mahakama ni kwamba Prof Asad alionewa. Lakini kwa mazingira ya sasa hawezi yeye binafsi kufaidika na hukumu hiyo
Natamani mahakama ziwe zinatoa hukumu kwa wakati kwani haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa
Hongera Tanzania, pole na hongera pia Profesa Juma Asad
Na kwa namna walivyomuita(kwa barua) ndio utaratibu unavyotakiwa na sheria
Hakuna kosa lolote alilofanya kama stori yenyewe ipo kweli kama anavoielezea.
Maana kama hao watu hawakujitambulisha na hawakua katika sare za polisi basi hawezi kufunguliwa kesi ya kuzuia polisi/mamlaka kufanya kazi yao
Nashangaa sana. Hata Masaki na Oysterbay parachichi kubwa, zuri na linalovutia, tena la kutoka Rombo bei haizidi 4,000/=
Pengine muuzaji alikua dei waka. Mwenye biashara alienda washroom kidogo ndio akaamua na yeye aweke chajuu (apige winga)😂😂
Ukifanya utafiti utagundua miongoni mwa kesi nyepesi ni kesi za mauaji hasa mauaji yanyisababishwa na wivu wa mapenzi
Mara nyingi waliotekeleza mauaji ama wanaachiwa au wanapewa adhabu ndogo tu ikiwemo vifungo vya miaka michache tu gerezani.
Kesi hua zinabadilishwa kutoka murder na kua mauaji...
Kweli wnaume hua hawaongei sna kuhusu changamoto zinazotokea kwenye ndoa kila siku tofauti na wanawake
Hata huyo wa Kigamboni unayesa alimuua na kumchoma moto mkewe ni kwamba walikua wanagombana kila siku. Walikubaliana kutengana lakini wakaendelea kuishi nyumba moja wakigawana floor
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.