Mnamo tarehe 17 Desemba 2023 Majira ya saa 10 jioni Kijana Ryoba Kisire Kisire alipigwa Risasi na Polisi wanalinda eneo la mgodi huo na Kufariki wakati akipatiwa matibabu hospital ya Nyamwaga Halmashauri ya Tarime Vijijini.
Mazishi yanafanyika leo tarehe 18 Desemba Kitongoji cha Ntarechagini...
Kweli, hebu fikiria nahangaika Mwenyewe lakini ikifika wakati wa mavuno Serikali inaingilia Kati ambo ya stakabadhi ghalani na mwisho mkulima anadhurumiwa
Wala msimlaumu Samia! Ninyi mnadhani alikuwa na kauli ya ushauri kwa Magufuli? Au mnajisahaulisha!
Yeye amesema na hiyo ndiyo changamoto anayoiona kwamba kumbe watu walifanya kazi kwa uoga na siyo kimfumo kutokna na career Zao. Anachojaribu kusema kwamba civil servant wanatakiwa kufanya kazi...
Kesi hii itafundisha mengi kwa wananchi Mambo ya CR, PGO, notebook na utaratibu mzima tungeujulia wapi? Tulishazoea kukamatwa kwa virungu bila hata kuulizwa!
Waandishi wa habari wamekuwa wa michongo
Hivi kwanini Masasi mmetuondosha kwenye umeme wa gas na kutuwekea umeme w grid ya Taifa inayotoka Makambako ambapo umeme unasumbua hivi? Na unasababaisha maji kutokutoka na wananchi sisi tunahangaika!?
Ukweli Ni kwamba ninyi idara za maji mmekuwa siyo wabunifu!
KWELI mnashindwa Kuandaa mkakati wa kuvuna maji kwenye maeneo ambayo maji yanasumbua Kama Newala?
KWELI mnashindwa kufanya project ya kuvuta maji mto Ruvuma ili kusambaza maji kwenye Mkoa MZIMA wa Mtwara na hata Mikoa Jirani?
Watu...
Wanajukwaa salaam!
Naomba msaada na muongozo wa namna ya kurudisha file zimepotea wakati napiga window nilisahau zilikuwa kwenye Desktop nikasahau ku copy kwenye Disk hasa Ni vitu vya muhimu Sana naomba msaada wenu wanajukwaa. Nafahamu hapa huwa hakishindikani kitu.
Ndugu acha nijusamehe Sana
Hebu fanya kwamba wewe ndiyo umemkuta mkeo analiwa na jamaa umeamua kusamehe kwa nmna fulani Halafu u akamatwa Tena wewe , mkeo na Ndugu yako mnawekwa ndani ungejisikiaje?
Tusiongee tu kwa kuwa yamemkuta mwenzio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.