Kwani TEC ni chama Cha siasa?
Unayafahamu majukumu msingi ya mabaraza ya maaskofu katoliki yaliyopo duniani na namna yanavyoundwa?
Msingi wa BAKWATA ni sawa na TEC mpaka ulinganishe?
Unatafsiri Kanisa kama nini,?
Unaijua historia ya Kanisa? Unadhani mpaka leo ni kipi Kanisa halijapitia mpaka Karne hii mpaka libabaike toka Kwa papal state mpaka Vatican city unadhani Kuna kipya gani ndugu?
Sema ni siku baadhi ya wafanyakazi wa umma kutoenda sehemu rasmi ya vituo vyao vya kazi na wanafunzi kutoendelea na vipindi lkn shughuli nyingine ziko palepale.
We huoni tofauti hapo
Ukweli ni kitu gani
Yesu alimwambia Pilato "alikuja ulimwenguni ili ashuhudie ukweli", ndipo Pilato akamwambia Ukweli ni kitu gani hakujibu.
Tuambie wewe tafsiri ya ukweli, ukweli ni kitu gani? Maana Kristo ni mmoja ila madhehebu mbalimbali wote wanaangaika na hiyo tafsiri ya ukweli huku...
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Ok ukitoa...
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Umetumbukia mtoni Kwa mashindano ya kuogelea umepambana na dhoruba umechoka unatoka kwenye mashindano mara unataka mto ukauke mashindano yasiwepo tena kwani wewe na kizazi chako ndio kipimo Cha mashindano?
Udhani hayo ni mawazo sawasawa au ubinafsi, au ni uvivu, au kukosefu wa upeo na maono tu?
Umechagua kutokuelewa sio.
Calendar hii imeanza hata Kabla Yesu hajazaliwa na Kaizari Julius. Alichofanya Gregory ni kurekebisha tu calculations ya siku Moja kupote baada ya mzunguko wa miaka 128. Sasa hapo unauhusianaje na Imani. Nini uelewi hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.