Unataka kuniambia Polisi, Speaker, na Serikali ya CCM wanabaka Katiba kupambana na kivuli? Nilifikiri wangekuwa wamerelax sasa na kuweka nne na sio kihangaika kuliko "walioisha"
Miaka mitano siasa wamefanya CCM peke yao, wamewafunha magerezani, Wamemunua watu wao, wamefanua kila ujinga lakini...