Mambo yote mtoto, baba wa yote ni katiba yenye mfumo wa uwajibikaji wa viongozi na elimu kwa jamii yetu haswa waishio vijijini. Watanzania tuombe katiba yenye maana na sio mambo ya serikali tatu au mbili.....muungano unaweza kuvunjika ila maisha ya watanzania yanahitaji EMERGENCY CARE...
Hata hao viongozi wanajua sana unachokisema hapo, hawaendi kuomba kwa ajili ya hao maskini wala Taifa in general, wanaenda kutafuta maslahi yao binafsi.
Akiwa Model type nitafurahia zaidi ila sidhani kama kuna tatizo lolote mtu kusema anachokitaka.
Pia kumbuka sitafuti mfanyakazi wa ndani.... so uzuri ni moja ya kigezo kikubwa kuliko vingine vyote, the rest are just bonus.
Do you have a problem with my preferences? i can't help you on that my...
Wabongo bana hamna dogo......Kama haikuhusu soma endelea na shughuli zako. walio serious wamenicheck tayari.
Sio lazima utoe maoni yako kwenye kila thread unayoiona hapa....jibu kitu ambacho kinakuhusu acheni tabia ya kutoheshimu wenzenu.
Huu ni utaratibu ambao unasaidia watu walio busy na...
Hi Ladies,
I am a 42yrs male, 6 ft tall and medium body type, degree holder and i am looking for a beautiful woman at her 24 to 33, no kids with a degree, 5'4" - 6ft, athletic to medium body type. for serious prospects please email me at mako9905@gmail, if you need more information regarding...
Haya yote yasinge fika au kupotezea bunge wakati kama tungekuwa na sheria na utamaduni wa "check and balance" plus maadili mema ya utumishi. tunachohitaji hapa ni "system" sio watu tu. Huu sio wizi pekee unaojulikana hapa nchini, serikali inasaini na kulipa kampuni nyingi bila hata kuchunguzwa...
Inakuwaje Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake anashangilia viongozi wezi na majambazi wakubwa wa maendeleo ya nchi yetu? sijaelewa kabisa hapa au tunaishi Dunia tofauti hapa. utakuta anaeshangilia ni mtu hana chochote. Acheni ushabiki wa Yanga na Simba hapa, tunaongelea maisha ya watanzania...
Tatizo kubwa ni kwamba viongozi wanakatiwa kidogo wanasaini mikataba na ndo imetoka hiyo. hawakusanyi ushuru wala kufuatilia mapato au kujua ni kiasi gani kinazalishwa katika hiyo migodi. what a waste we have in our beautiful, richest country!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.