Recent content by Septemba11

  1. Septemba11

    RC Chalamila aapa kurejesha mabasi yote yaishie Stand ya Magufuli

    Kila nikijaribu kutizama wamiliki wa hizi kampuni za usafirishaji (bus) na ukwasi wao,, influence kwa mamlaka + power of lobbying yao,,, sioni mkuu wa mkoa akifanikiwa katika hili!
  2. Septemba11

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Aiseeee nilikuona ile nait kwa Mangi msamvu pale kitimoto choma.
  3. Septemba11

    TANZIA My dad is gone

    Pole sana ndugu, binafsi nina miezi kadhaa toka nimpoteze mzee wangu, kuna moment huwaga namkumbuka snaa adi chozi linantoka,,Hakika wapumzike kwa amani wazazi wetu wote walotangulia mbele ya haki!
  4. Septemba11

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Kaka nimekuwa nikilisoma andiko lako hili mara kwa mara,,, since way back 2017, not only cause of your good writing style but also your sweet content flowing and organization! So nilichojifunza toka kwako,,,,, lets be good to the people,,, eenheee Mwenyezi Mungu nijaalie namimi moyo huu wa...
  5. Septemba11

    Wilaya zenye baridi sana Tanzania

    Pia kawilaya ka Gairo Morogoro kana baridi kama barafu vile
  6. Septemba11

    Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Mama Samia kwa hili tu,, hebu kula tano!
  7. Septemba11

    Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Binafsi kwa uteuzi huu,, umeniondolea imani kubwa nilokuwa nayo kwa mteua,,, kwani zaidi 75% ya wateule wake kwenye huu mkeka hawana sifa stahiki za kuwa kwenye hizi ofisi nyeti.
  8. Septemba11

    Usiombee kukosa hela

    Kuchacha ni kubaya sanaa ndugu usiombee,,,, i know this situation very well!!!
  9. Septemba11

    Mama Samia anza kwa kuboresha Baraza la Mawaziri

    A well written analysis,,, based on fact,,,, kongoreeee mkuu
  10. Septemba11

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bila shaka ni tawi la CRDB kwenye ule mkoa unaoanzia na herufi M.
  11. Septemba11

    TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    Katika kufanya tafiti huwa tunatoa nafasi ya AREAS FOR FURTHER STUDIES,,,Ambacho ndo hicho wewe umetem kama bias!!!
  12. Septemba11

    Vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania kwa protocol

    Ni kazi ambayo sintoweza kuifanya katika maisha yangu,,,,,nakumbuka wakati nimenaliza first degree waliniita kujiunga nao baada ya kufanya usaili,,,,lakini nafsi ilikataa kabisaaa nkawapotezea!
  13. Septemba11

    Furaha yetu sisi wanaume ni nini haswa?

    Wanaume tunahitaji furaha tu!
  14. Septemba11

    Arusha yalipuka kwa shangwe baada ya Gambo kutumbuliwa

    Gambo bwana,,,,,,sijui mwalim Magreth atakuwa na hali gani!
Back
Top Bottom