Recent content by senzoside

  1. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Aksante sana kwa uchambuzi wako wa kina mkuu
  2. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Npo mkoani mkuu
  3. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    1. Mtaji nimedunduliza kwenye kilimo kwa kuwa kilimo ni cha msimu nilitaka nipate chanzo kingine cha mapato 2.Vitenge na vipodozi nataka viviweke sehemu moja kwa maana ya fremu moja 3. Shughuli ninayoifanya kwa sasa, sifanyi chochote nasubiri mpaka msimu wa mvua ufike niingie shambani 4. Eneo...
  4. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    🤣 😂 Hiyo yapili kutoka mwisho nimeipenda asante sana kwa dondoo hizo
  5. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Aksante sana mkuu umeniongezea kitu kikubwa hapo
  6. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Aksante! Kwanini kuna biashara zinahitaji lesseni na zingine hazihita? Na hiyo lesseni inapatikana wapi?
  7. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Uswahili wamaanisha nini
  8. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Nashukuru sana mkuu kwa maelezo hayo ya kina
  9. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    😂😂😂😂😂Nipo serious brother acha utani
  10. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  11. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Aliexpress

  12. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Aliexpress

    Inaonekana una eperience ya kutosha naomba unidm namba yako ya whatapp mkuu
  13. senzoside

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Aliexpress mpitie hapa mtoe msaada wa haraka tafadhali

    Ngoja wazoefu waje
  14. senzoside

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kozi ya Kodi (Taxation)

    Procurement yenye kikolezo kipi ni nzuri zaidi?mkuu
  15. senzoside

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kozi ya Kodi (Taxation)

    Sawa mkuu nashukuru sana kwa respond yako
Back
Top Bottom